Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
Amani iwe nanyi.
Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA!
Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
Naombeni msaada wenu wakuu.
Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa.
Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
Mimi ni mwanafunzi wa Degree mwaka wa kwanza chuo kikuu cha Ushirika Moshi. Ni mnufaika wa mkopo kutoka Board ya mikopo lakini nalipiwa laki 4 tyuu kwenye ada ya masomo ambayo jumla ni Milioni 1 laki 1 Sina support kutoka uoande mwingine wowote Je nifanyeje niweze kukidhi mahitaji ya ada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.