kupata pesa

  1. youngkato

    Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand

    Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand. Kwa lugha ya mtaani personal brand ni kama yule dalali ambaye anajulikana mji mzima. Na kila mtu ana namba yake. Lakini kwa online ni tofauti kabisa! 👇👇👇Tuangalie hapa Huku online ukisema...
  2. Waufukweni

    Pambalu: Watu wanachimbishwa mitaro kupata pesa za TASAF

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Taifa, John Pambalu amedai kuwa kuna baadhi ya Watanzania wanafanyishwa kazi ambazo si jukumu lao kuzifanya ikiwamo kutengeneza barabara, ili wapewe pesa za Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF). Pambalu...
  3. MamaSamia2025

    Nini kifanyike ili kuondoa hii dhana kwamba Traffic police wapo kwa ajili ya kupata pesa za waendesha magari?

    Ni wakati sahihi wa kuondoa hii dhana iliyojengekea kuwa askari wa usalama barabarani wako kwa ajili ya pesa za waendesha magari (madereva)... iwe kihalali au rushwa ni kuwa kuna dhana kwamba matrafiki wanawaza pesa tu. Hii sio sawa. Mimi naona trafiki wako kwa ajili ya usalama barabarani na sio...
  4. Waufukweni

    Bernard Morrison: Nimekuja Bongo kujitafuta sio kupata Hela – Muhimu ni kuibakisha KenGold

    Hiki Kiswahili cha BM3 🫰🏽 Mchezaji nyota Bernard Morrison kwenye mahojiano na Azam TV asema amekuja Bongo kujitafuta sio kupata hela, kwani ametoka kupona majeraha sio rahisi kurudi moja kwa moja kwenye timu zenye presha (kubwa) – Muhimu ni kuipambania KenGold kuibakisha Ligi Kuu ya NBC.
  5. youngkato

    Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  6. youngkato

    Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kutumia Social Media kama Instagram, X, na Facebook

    Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za kupata pesa online kupitia majukwaa kama Instagram, X (zamani Twitter), na Facebook. 1. Kuanzisha...
  7. sinza pazuri

    Lissu alimwambia Abdul endapo angefanikisha kumsaidia kupata pesa angekuwa rafiki yake. Hajafanikiwa, anachafua kila mtu

    Haya ni maneno ya Tundu Lissu “nilimwambia Abdul anisaidie kupata malipo yangu na nikampa documents,angefanikiwa angekuwa rafiki yangu” Huyu ndio wafuasi wake wanasema ni mkweli kanyooka anachukia utawala wa CCM. Mtu aliyenyooka na anaejua utaratibu anaalika mtoto wa rais nyumbani kwake...
  8. BARD AI

    Rapa Prezzo adai yeye ndiye chanzo cha Diamond Platnumz na Wasanii wengine wa Afrika Mashariki kuanza kupata Pesa

    Jackson Ngechu Makini, anayejulikana pia kama Prezzo, mwanzilishi katika ulingo wa muziki wa Kenya, amekuwa na ushawishi mkubwa katika tasnia hiyo kwa miaka mingi. Katika mahojiano haya, mshiriki wa zamani wa Big Brother Africa anazungumzia safari yake, mchango wake katika ukuaji wa tasnia ya...
  9. Makirita Amani

    Hatua Tano (05) Za Kupata Pesa ya kutatua Dharura za Maisha

    Rafiki yangu mpendwa, Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana. Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
  10. Bushmamy

    Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

    Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbalimbali Wilayani Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi, kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa kwa ajili ya kujihamisha wao...
  11. OMOYOGWANE

    Upo chuo au hauna ajira ila unamiliki simu ya laki tatu na kuendelea? Tumia mbinu hii kupata pesa ya kujikimu kimaisha (nunua camera)

    Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
  12. U

    Nifanye nini kupata pesa zangu nilizodhurumiwa na huyu kigogo?..

    Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
  13. K

    A-Z Jinsi ya kupata pesa kupitia chaneli ya YouTube

    Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua unazitazama YouTube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo, yawezekana hujawahi kuujua...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Hello , nipeni muongozo wa kupata pesa za mkopo wa hazina kwa mtumishi wa umma.

    Natanguliza Asante
  15. Melki Wamatukio

    Hata hii mbinu ya kupata pesa ikikushinda, rudi tu kijijini ukalime

    Elimu ya bure kabisa hii; Ingia Mabibo sokoni ama Buguruni. Kapoint matikiti manne ya elfu nne nne. Kila tikitiki likate vipande 40 vya Tsh. 200 @1. Kwa kila tikiti itatoa gross amount ya 8,000. Ukitoa mtaji wa 4,000 @1, unabaki na faida ya 4,000. Kwa tikiti zote nne = 4,000 × 4 ~ 16,000...
  16. Moseskyey

    Kupata Pesa Mkondoni Uhakika 100%

    Tambua stadi zako na maslahi yako. Hatua ya kwanza ya kupata pesa mkondoni ni kugundua uwezo wako na kile unachopendezwa nacho. Hii itakusaidia kupata fursa sahihi na kuhakikisha unafurahia kazi unayofanya. Unda tovuti au blogu. Ikiwa unataka kupata pesa mkondoni, utahitaji kuwa na uwepo...
  17. and 300

    Atumia ubunifu wa kujamba ili kupata pesa (Video)

    Ingawa pesa ngumu Ila huu 'ubunifu' haupendezi aisee. Ni masikitiko kama sio msiba.
  18. DR HAYA LAND

    Kupata pesa na kuimiliki ni vitu viwili tofauti

    Nilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake . That way watu wana vipato vikubwa but they still broke . Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru nadhani Kazi ya heshima au kuingiza pesa nyingi bado haiwezi kukufanya...
  19. Mwamuzi wa Tanzania

    Hii nchi ni rahisi kupata pesa. Kijana usikubali kukaa bila pesa

    Mwone kijana mwenzako huyu ana pesa. Tanzania pesa kila sehemu zimejaa, shambani, sokoni, kazini, mitaani. Ni wewe tu kutumia akili kidogo unazipata.
  20. Kainetics

    Mambo Unayotakiwa Kuyaepuka Ukiwa Desperate Sana Kupata Pesa

    Hello wakuu, Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania. Moja ya mambo haya ni "Being So Desperate To Earn Money" Nimecheck...
Back
Top Bottom