kupata pesa

  1. D

    Ushawahi kupata pesa nyingi sana kwa wakati mmoja bila kutegema? Ulijisikiaje?

    Kwema wadau? Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nilikutana na picha hii chini ya huyo mwamba aliyeshinda Milioni 10 kwenye kampuni moja ya kubetti mtandaoni, Sokabet. Nilibaki najiuliza tu huyo mwamba anajiskiaje? Furaha sana maana inawezekana hajawahi kushika pesa nyingi hivyo? Au anajiskia...
  2. Sodoku

    Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi. Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi? Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au...
  3. R

    Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

    Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
  4. A

    Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
  5. napenda movie

    Kuna uwezekano wa kupata pesa mtandaoni......?

    Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet.......... Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
  6. B

    Natumia Blog kupata PESA. Hivi ndivyo ninavyopata VIEWS

    Habari Siku zilizopita nilipost Uzi kuhusu Mtaji wa 25,000 Unavyonipatia laki 4 kila mwezi>> Watu wengi walitaka kujua jinsi ya kupata Watembeleaji wengi kwenye Blog. Binafsi natumia njiaa kuu mbili kupata views kwenye blog yangu. 1. Natumia Magroup ya WhatsApp>. Huwa Na-share Links za posts...
  7. Mwamuzi wa Tanzania

    Njia rahisi ya kupata pesa Dar es salaam ni hii

    Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa. Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
  8. Thailand

    SoC01 Nini kifanyike Serikali iweze kupata pesa baada kuachana na hii tozo kandamizi na wapi pa kuwekeza

    Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
  9. Okwaaa

    Je, kukosa kwetu ajira na ugumu wa kupata pesa, lawama tumtwishe nani?

    Wasalaam wakuu, Kwanza poleni na kazi kwa ambao michongo imegoma mpaka sasa, na pia hongereni na kazi kwa ambao michongo imeenda sawa. Wakuu, mm ni mhanga wa kukosa ajira, zaidi mhanga wa maisha magumu. Siku hizi nimeshaanza kuzoea mlo mmoja😁, sijisifii ila ukweli upande wangu hali ni ngumu...
  10. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Mtihani mkubwa ulio mbele ya CHADEMA ni kupata fedha za kampeni za Urais. Chama hakina fedha na Mgombea hana fedha

    Mtihani mkubwa mbele ya CHADEMA ni kupata pesa za kampeni za ugombea urais sababu chama hakina pesa na aliyependekezwa kugombea pesa hana. Pesa nyingi mno huhitajika kwenye kampeni ya urais. Ni mtihani mkubwa mno ulioko mbele ya CHADEMA. Kampeni inahitaji bilions of money kwa ajili ya...
  11. D

    Uchaguzi 2020 Mbowe hatafuti urais, bali anatafuta njia ya kupiga pesa

    MBOWE HATAFUTI URAIS, BALI ANATAFUTA NJIA YA KUPIGA PESA - Ni mjasiriasiasa mbobezi, Kwake muhimu ni pesa na sio huduma kwa wananchi - Anafahamu katika dunia ya leo hakuna mtu anaweza chagua Rais aliyepata sifuri darasani na kuacha Rais mwenye PHD - Anajua akigombea yeye atakusanya pesa kwa...
  12. 666 chata

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini kuleta mijini na kusambaza kwa bei ya jumla. Biashara mwanzo ilienda vizuri, mwisho wateja wangu wa siku...
Back
Top Bottom