Wasalaam wakuu,
Kwanza poleni na kazi kwa ambao michongo imegoma mpaka sasa, na pia hongereni na kazi kwa ambao michongo imeenda sawa.
Wakuu, mm ni mhanga wa kukosa ajira, zaidi mhanga wa maisha magumu. Siku hizi nimeshaanza kuzoea mlo mmoja😁, sijisifii ila ukweli upande wangu hali ni ngumu...