Habari za wakti huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu.
Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta mjadala chokonozi ambao unalenga zaidi kuchokoza fikra zako na kukusisimua.Mjadala Utahusu "Jinsi...
Nimefika Ofisi ndogo za RITA Kindondoni mida ya saa 1:48 asubuhi kuchukua cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto ukiwa umepita mwezi mzima tangu nitume maombi ya Mtandao na kuwa Approved.
Kinachoshangaza ni kuwa kwanza hakuna eneo la kutosha kukaa watu wanaosubiria vyeti hivyo. Mathalani, leo imenyesha...
Habari za muda huu marafiki,
Siku za hivi karibuni kumekuwa na hali ya kushangaza kustaajabisha kwenye jamii yetu na hasa huku mitandaoni.
Kumekuwa na wimbi la watu kuwasimanga, kuwakejeli na hata kuwacheka ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wanaoonekana kwa vigezo, mitazamo na viwango...
Habari,
Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje.
Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma.
Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
Habari wakuu,
Leo naomba niulize swali ambalo kama watu watajibu litasaidia wengi pia.
Miaka ya karibuni kumekua na watu wengi wanafanya remote jobs hasa huko US ila ukiwa popote duniani.
Wenye experience na hii mtusaide kama kuna links za job advert na muongozo jinsi ya kupata.
Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu
zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko
1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend
ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa
sababu fulani...
Ni taasisi niliwahi kuiamini sana sana ila nahisi imevamiwa na vijana wasiojua majukumu yao.
Vijana wakikupokea wanahaha kama vile wanapewa mshahara kesho mpaka unapenda.
Shida unapoanza kupewa tarehe njo siku fulani wapendwa inachosha mbadilike.
Jana nilikuwa na ndugu mmoja tunafwatilia...
Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
Ndugu zangu ama kweli bahati haiji mara mbili.
Huu ni ushuhuda nilionao dhidi ya rafiki yangu kipenzi, rafiki yangu huyu baada tu ya kumaliza masomo yake. Mungu si Athumani ni bahati iliyoje alipata kazi haraka sana huko bandarini kwenye moja ya kampuni kubwa sana ya mafuta.
Kaka yake ni moja...
Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala.
Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
Wanajukwaa habarini za wakati huu.
Poleni kwa majukumu.
Nilikuwa naomba msaada wa namna ya kupata visa/hati ya kusafiria ya hapa kwetu Tanzania.
Nataka niende ughaibuni (taifa X huko America kaskazini) nikajitafte kidogo na huko maana bongo land kwetu wanga wamekuwa wengi (natania 😅)
Naamini...
Sio mbali sana. Ni miaka mitatu kurudi nyuma bei za vifurushi vya intaneti ilikuwa ya kawaida sana. Kwa 1000 mtu angeweza kupata kifurushi cha GB1 kwa wiki. Leo hii, GB1 ni 3000.
Hebu fikiria kwa sasa, ni watu wangapi wameathirika na mabadiliko hayo? Mimi kipindi hicho, kulingana na bei kuwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Siku chache baada ya Mheshimiwa Luhaga Mpina kuzungumza hadharani na kulaumu au kutoa shutuma zinazoonyesha matumizi mabaya ya fedha za umma kwa kununua vifaa vya kuongeza makalio badala ya kutumia pesa hizo kutoa huduma kwa wananchi.
Serikali kupitia naibu waziri wa...
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke Dkt. Ikrah Abdallah ametoa wito kwa Jamii kutofanya tendo la ndoa mara kwa mara badala yake tendo hilo linaweza kufanyika angalau mara Tatu (3) au Nne (4) kwa wiki ili kuondokana na hatari ya kupata UTI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.