Taarifa ya Jeshi la Polisi
==
Ndugu wa Vincent Masawe, bwana harusi anayedaiwa kupotea katika mazingira ya kutatanisha wamethibitisha kupatikana kwa ndugu yao.
Kwa mujibu wa ndugu hao, Vincent yupo katika kituo cha polisi kilichopo Kigamboni, mkoani Dar es Salaam.
Akizungumza na Mwananchi...
Habari wanajamiii forum, !
Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana
kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi,
Ila utawakuta wenye uwafadhali...
Kijiji cha Kibodiani kilichopo Wilayani Mpwapwa, Dodoma ni mfano wa Jamii nyingi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kijamii.
Wakazi wa kijiji hiki wanapitia matatizo mengi yanayohusiana na ukosefu wa huduma za msingi kama Elimu, afya, umeme na maji safi na salama. Hali hii inawaathiri kwa...
Kuna vile vi spy voice recorder vidogo vidogo unaweza ukakaweka ofisini kwa mtu au nyumbani kwa mtu ili unase anayoongea.Si kwa ubaya nauliza tu hapa dar naweza kuvipata sehemu gani?
WAZIRI MHAGAMA: HUDUMA ZA UCHUNGUZI WA MAGONJWA SASA KUPATIKANA WILAYANI MWANGA
Wanachi wa Halmashauri ya Wilya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro sasa kusogezewa huduma za Afya za uchunguzi wa magonjwa ikiwemo huduma za upimaji wa kansa ya matiti kwa akina mama pamoja na Ultrasound kwa ajili ya...
Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
Je, Ushawahi kupotelewa kwa Kitu cha “Thamani” au “Muhimu” …? Upatikanaji wake ulikuaje…Ulifanikiwa au Hukufanikiwa…TUANGAZIE MBINU NA NAMNA YA KULITATUA SWALA HILI.
UTANGULIZI:
Natumaini kundi kubwa la watu wengi wameshawahi kupotelewa na kitu fulani iwe kikubwa au kidigo kithamani, Muafaka au...
Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma zilipaswa kuwa zinagharamiwa na Serikali kwa asilimia kubwa sana kupitia rasilimali za nchi.
Mfano...
Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi ambao ni Waadilifu na wachapa kazi hawataki kuingia katika Siasa na wanaona kama Siasa si kazi yao...
Kimberlites ni miamba ya kipekee ambayo mara nyingi hufanana na mianzi ya juu ya koni na ambayo ina uwezekano mkubwa wa kuwa na almasi.
Hii ndio kimberlite ilivyokamili kabla ijapata mabadiliko ya kijiolojia:
UGUNDUNZI:
Kimberlite iligunduliwa kwa mara ya kwanza huko Kimberley, Afrika Kusini...
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili.
Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
Vifijo vimerindima ndani ya maeneo ya Gaza baada ya Iran kuamua kuipiga Israel kulipiza kisasi shambulio la Israel dhidi yake huko Syria.
Baadhi ya waliohojiwa jimboni humo wamesema kwa muda mrefu wamekuwa wakipigwa huku majirani zao wakikaa kimya.Kama sasa wataanza kuingilia kati kuipiga...
Matumaini ya kupatikana nafuu kwa wapalestina karibia milioni 2 na nusu wanaoangamia kwa vita na njaa yameanza kupatikana.
Katika mazungumzo ya kusitisha vita baina ya Israel na Hamas kila upande umelegeza masharti yake ili kufikiwa kwa lengo hilo.
Kwa mujibu wa taarifa zinazovuja kutoka kikao...
Kama ulikuwa unafikiria kwamba baada ya umeme wa bwawa na Nyerere kuanza kupatikana basi matatizo ya mgawo wa umeme yatakuwa yamekwisha, basi sasa ni wakati wa kubadili mawazo yako.
Tanesco wanasema kwamba, mgawo wa umeme Tanzania kimsingi hautokani na ukosefu wa umeme wa kutosha, bali ni kwa...
ukweli mchungu changamoto za uzazi ni kubwa sana nowdays. sababu kuu mabinti wanachelewa kuolewa.
mwanamke wa miaka 30 mimba haipati kwa urahisi kama mwanamke wa miaka 25 ama mwanamke wa miaka 18
30 yrs is a prime for women mental maturity but not for carrying and birthing a human.
WAGANGA...
Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Israel anaomba msaada kwa raia wa Gaza wawasaidie kupatikana kwa Mateka, naona mambo yamekuwa magumu leo mwezi sasa walisema wanaenda Gaza kuifuta Hamas na kurudi nyumbani na mateka.
“I say to the residents of the Gaza Strip! Those who can contribute to the...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha kuanzia Septemba mosi hadi 12, limefanya oparesheni na Misako yenye tija katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mbeya na kupata mafanikio ikiwa ni pamoja na kukamata watuhumiwa 29 wakiwemo wa kupatikana na nyara za serikali (Meno ya Tembo), kufanya...
Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu.
Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.