Mimi binafsi sina hakika kama dollar ni tatizo la dunia nzima.
Kwamba tukilima mahindi mengi tukauza nchi za nje hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima kahawa kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo dollar?
Kwamba tukilima korosho kwa wingi tukauza nje ya nchi hatuwezi pata hizo...
Huduma ya mtandao ya Starlink imeanza kupatikana nchini kenya kwa taarifa iliyotolewa na Bilionea Elon Musk.
Tanzania Nape alisema Musk hajatimiza vigezo.
UTANGULIZI.
Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali.
Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
Mtakumbuka mwaka 2018,April niliweka hapa jukwaani mada isemayo Anatafutwa Mzee Michael JUma Mkazi wa Mtwara na Masasi.
Kiufupi kwa wale ambao hawakupitia uzi huu mda ule Ni kuwa huyu Michael Juma alikuwa Ni Askari magereza katika gereza la musoma miaka ya 80S.Alikwa na Mke anaitwa Mama...
Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati.
Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua?
Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
Kuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa anamkubali huyu, anaMkataa yule.
Aina ya kwanza ndo wanawake ambao mtaani, wana sifa ya kukataa kila...
Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London.
Desemba 19, 1983 liliibwa tena na kusababisha Wanaume 4 kuhukumiwa kwa wizi bila ushahidi na Kombe hilo halijawahi...
Kadiri muda unavyokwenda teknolojia za kidigitali zinaendelea kuyafikia maeneo mengi ya maisha ya watu. Sasa hivi watu huchangamana na kufanya kazi katika mazingira ya kidigitali.
Kutokana na ukweli huo, watu wanakumbana na wataendelea kukumbana na mabadiliko na misukosuko wakati wa shughuli...
UTANGULIZI:
Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka milioni 24.5 hadi milioni 25.6; kondoo kutoka milioni 8.5 hadi milioni 8.8. Kuku wameongezeka kutoka...
Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha.
CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
Bila kuwa na katiba itayodhibiti wizi na utoroshaji wa mali za umma. Tunakwenda kuumia. Maana hii miaka mitatu mpaka uchaguzi mkuu ufanyike tutaibiwa sana.
Mandamano yaitishwe nchi nzima bila kujali itikadi zetu.
Tupate katiba ambayo hata Rais au waziri akifanya ufisadi anafikishwa mahakamani...
Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana? Tunataka tuichambue hukumu hiyo kwenye vijiwe vyetu, kwenye vyama vya kitaaluma ya sheria, kwenye law...
Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston
Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao.
Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ambapo huduma ya simu itapatikana kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tisa mchana.
Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Wataliban kujua kuwa simu hutumika...
Sababu mama ni kuwa Katiba mpya ndio Tiba ya matatizo yote ya Tz,kama ilivyoelezwa kwenye rasimu ya Jaji Warioba na mama alikua Mwenyekiti wa Bunge la katiba anajua zaidi yangu faida za katiba mpya.
Ila tatizo lililopo ni CCM kutaka kuendelea kutawala hata kama hawana ridhaa za wananchi, na...
Hakuna asiyejua kuwa wakati kuna mchakato wa (akina Zitto na wenzao) kuandaa misingi ya tume huru ya uchaguzi, wahudumu wa tume hiyo wameendelea kuteuliwa bila hata ya mashauriano.
Ni wazi kuwa kwenye jambo hili nyeti kuna wenye maslahi yao binafsi ndani ya mchakato unaoendelea.
Wananchi...
Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru.
Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa wanateuliwa na rais. Kama mwenyekiti akitoka bara,makamu atatoka Zanzibar vivyo hivyo makamu akitoka Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.