Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20 inchini Kenya.
-
So Far walichotufahamisha ni kuwa, Huduma hii itakuwa kwa wenye umri juu ya miaka 18...