Wakuu habarini muda huu!
Najua JamiiForums kuna watu wenye maarifa mengi ya kila aina, hivyo naombeni msaada wenu kunielewesha jambo hili
Leo usiku hadi kuelekea kukucha kwa kesho kunatarajiwa kuwa na historia mpya kwenye hii dunia kuwa tukio la kupatwa kwa mwezi la leo litakuwa la muda mrefu...
Kesho Ijumaa usiku Mwezi utapatwa kififio siku ya tarehe 6 Juni sawa na ile iliyotokea mwanzoni wa mwaka huu Januari 10.
Kiasi cha kufifia kwa mwanga wa Mwezi hakutakuwa kubwa safari hii kwa hiyo ifikapo saa 4:25 usiku Ijumaa hii, kama anga itwakuwa wazi bila mawingu tutaona tofauti kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.