Kesho Ijumaa usiku Mwezi utapatwa kififio siku ya tarehe 6 Juni sawa na ile iliyotokea mwanzoni wa mwaka huu Januari 10.
Kiasi cha kufifia kwa mwanga wa Mwezi hakutakuwa kubwa safari hii kwa hiyo ifikapo saa 4:25 usiku Ijumaa hii, kama anga itwakuwa wazi bila mawingu tutaona tofauti kati ya...