Habari za humu wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye hoja baada ya kuanzishwa kwa uzi wa vituko vya gesti na lodge wadau walivyokutana navyo, nimeona ni vyema kuwepo na uzi wa kuhabalishana kuhusu mahali zilipo lodge, gesti kuanzia zile za bei ya chini hadi za juu na hali yake.
Hii itatusaidi...
Salaam Kwenu wakuu!
kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao.
Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao.
1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi?
2. Mtu akikuita...
Habari wana jamvi.
Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo.
Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta mbalimbali kumepelekea kuzaliwa kazi na ajira nyingi.
Wanaowinda kazi ni wengi ila siyo wote wanaojua...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili, hapa iringa nimepewa hifadhi ya kulala tu na ndugu.
Twende kwenye main topic sasa, nina tatizo la...
Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda muhimu za kitaifa. Picha na video chafu zimekuwa na thamani kuliko mambo mengi yenye tija mitandaoni...
Kwa wale wapambanaji na wazee wa kusikilizia michongo;
Ebu tupieni faraja na matumaini hapa ili kujipa moyo wa kupunguza maumivu yoyote!
Mi nawaambia wadau muachage mazarau!
< Anaringa na kigari chake cha mkopo; ukifika japani hivyo vigari vinauzwa kwa mafungu, Nikitaka gari mi nitaagiza...
Kuna watu wanaweza wakawa wanaona fursa wanazidharau Kumbe hizo ni dili Kwa wengine
Mi kuanzia mwezi wa saba ntaanza kupata soko la maharage!
Maparachichi, Karanga
na mafenesi huku, naona wanapata kutoka pakistani sana!
Pia hapo ulipo unaweza ukawa unaona kuna fursa ya kufundisha!
Kufanya...
Naanza na mbazi Arusha/dar.
Ili ndinga Kama ukifika stendi na kulikuta kwa jinsi linavyovutia lazima ulikimbilie.siku hiyo nikalipanda kutoka Arusha mpaka dar nikafika sa 5 usiku Kila kituo linapakia na linasimama.
Happy national hili ni la Bei kubwa nilipanda kutoka dar mwanza tukafika sa 9...
Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo.
Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano.
Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango cha idadi ya watu na kuongeza uzazi kwa Urusi, ikiwa ni pamoja na kutoa motisha ya...
Habari,
Huu ni uzi wa vijana tunaopenda safari, namaanisha kuzamia nchi za Ulaya na America bila kusahau Japan na Australia.
Lengo Ni kusaidiana kama watanzania ili kuwezesha wengi zaidi kutimiza ndoto zao za kuishi "mambele mbele" a.k.a duniani..
Tuambie upo chimbo gani na taratibu za...
Kwema wana jukwaa mko njema
Mimi,ni muhanga wa kukosa ajira nakuja mbele yenu kupewa muongozo kwa wajuzi wa mtaani
Ni jinsi gani mbinu,gan wanatumia kupata riziki ya kila siku na kutimiza majukumu mbalimbali kama chakula kodi na mambo mengine
Nahitaji connection ya mchongo wowote niko dsm...
Habari za jioni wakuu,
Binafsi nimekuwa nikipitia changamoto sana nifanyaje au ninunue vyakula gani ambayo vitaweza kunifikisha mwezi mzima.
Naombeni uzoefu wenu katika hili, ni nini unazingatia, utaratibu upi unautumia kwenye kufanya manunuzi ya chakula.
Ukiweza kusema ni vyakula gani huwa...
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.
Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria...
Asubuhi ya jumatatu ya tarehe 26 Julai 2021 ilinikuta nikiwa kwenye ufukwe wa Coco,macho yangu yalikuwa yanaitazama fukwe hiyo maarufu nchini huku upepo mkali ukivuma kutokea baharini,meli na boti zikikatiza nyingine zikitokea usawa wa bandari ya Dar es salaam na nyingine zikielekea, pia zipo...
Tumeambiwa kimbunga hiki hakijatokea eneo la ukanda wa Afica mashariki kwa takribani miaka 70.
Hapa ni sehemu maalum kuhabarishana yanayojiri hasa mliopo fukwe huko.
Tukumbushane pia tahadhari za kuchukua maana siku yenyewe ni leo na kesho tu kwa mujibu wa mamlaka za hali ya hewa.
Mjadala wa ofisi ya Rais Tamisemi unakwenda vizuri ile mambo ya kusifia sifia kutoa pongezi na pole haipo leo.
Mbunge wa kwanza kuchangia Anna Kilango ametaka majimbo yote yaangaliwe kiusawa kwenye swala la fedha za maendeleo badala ya fedha kupelekwa jimbo moja tu kwa upendeleo.
Amesema...
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri tupeane connection mbalimbali za biashara.
Uzi huu utumike kuwakutanisha watu mbalimbali katika biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.