kupenda mashangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Shangazi yake nani huyu? Ila hili suala la wazee kukosa pumzi amelisemea vizuri

    Ghafla kwenye pita pita zako unakutana na dada wa baba yako huko youtube anatafuta kakijana ka kumliwaza. Amewasemea vizuri mashangazi, wazee wenzetu pumzi zenu hazitoshi, mnatuacha na kiu :uwotWater: :uwotWater: Shangazi tokea Mtwara https://youtube.com/shorts/nHQ4pC_iCB4?feature=share
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Vijana achaneni na kupenda mashangazi

    Wakuu mmesikia huko alichokisema Dkt. Mpango kuhusu Mashangazi? Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philiph Mpango, amesema zinahitajika tafiti za kina pamoja na mikakati katika kufanya mapinduzi ya kitamaduni kubadili tabia na mazoea yasiyofaa yanayojitokeza katika Jamii hivi...
Back
Top Bottom