kupenda

Kupenda for the Children is an American non-profit organization that works to improve the lives of children with disabilities in low and middle income countries.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Gerson Msigwa sasa Upumzike kuongea na Media, kwani tayari Mobhare Matinyi Kateuliwa na anatosha

    Kwahiyo kuanzia sasa Wewe jikite tu na Kuhangaika na Shughuli za Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ukiwa kama Katibu Mkuu wake. Haya ya sijui kuita Media au Kuisemea Serikali, Kumsemea Rais Samia na hata lile Zoezi la Kugawa Mamilioni ya Motisha kwa Vilabu vya Simba, Yanga, Taifa Stars na...
  2. Smart Contract

    Somo kwa wanawake: Usimuwekee limbwata mwanaume asiye kupenda

    Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini. Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote. Kama ni...
  3. I

    Mapenzi ya kupenda na kupendwa

    Habari zenu wadau, nimejikuta nipo kwenye wimbi la mawazo nashindwa hata kuchagua niingie upande upi kati ya kupenda na kupendwa. Kuna mabinti wawili wote wana umri kati ya miaka 24 -28, wote wanashepu matata, shida ni kwamba mmoja wao ananipenda sana yani karibu kila siku mara nyingi anapenda...
  4. Sildenafil Citrate

    Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  5. D

    Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

    Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu...
  6. Surya

    God is Love na Mapenzi ndio Yanatutesa.

    Yeremia 3:6-8 [6]Tena, BWANA akaniambia siku za mfalme Yosia, Je! Umeyaona aliyotenda Israeli mwenye kuasi? Amepanda juu ya kila mlima mrefu, akafanya huko mambo ya ukahaba, tena, chini ya kila mti wenye majani mabichi. [7]Nami nalisema baada ya yeye kuyatenda hayo yote, Atanirudia mimi, lakini...
  7. Surya

    Kupenda kunaponza siku zote

    Sijui wangapi watanielewa lakini kiukweli kupenda kunatesa jamani Nina falsafa yangu huwa naisema sana kujikumbusha lakini bado hata mimi najikwaaa. "What you Love, is what will make you suffer. " Kile unachokipenda ndio kitafanya uteseke.. kuteseka nikimaanisha kuutesa mwili na Akili...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Zamani kupenda haikuwa Haki ya Mwanamke, Mwanamke anahaki ya kupenda pia

    Anaandika, Robert Heriel. Baba. Zamani Mwanamke hakuwa na Haki ya kupenda, hakuwa na Haki ya kuchagua mwanaume WA moyo wake, Mwanaume anayempenda. Mwanamke alikuwa kama kikaragosi tuu kisicho na haki ya kuamua hatma ya Maisha yake katika mahusiano yake. Mwanamke alichaguliwa Mume na akaolewa...
  9. Pang Fung Mi

    Ushuhuda: wanawake wajita na wasukuma wanajua kupenda hadi raha

    Hello JF, nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara, Popote mlipo wenye shuhuda hizi tushiriki kuwatambua tuwape nishani za kipekee. Uwiano wa ahadi na matendo yao wako...
  10. K

    Profesa Kabudi tunakushukuru kutusaidia sana kuangalia mikataba

    Pamoja na uchawa wake na kupenda kujipendekeza kwenye mikataba Professor kabudi umesaidia sana kuangalia mikataba na kuweka uwazi ambao haukuwepo. Zamani tulikuwa na Chenge ambaye alikuwa anajifikira yeye kuliko nchi
  11. K

    Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

    Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia hatua ya ndani ya miezi miwili mitatu naye aanze kuitwa bonge Niwe muwazi wife wangu si mtu wa...
  12. sanalii

    Mwanaume kupenda wanawake wazuri ni sawa, wanawake kupenda wanaume wenye uwezo ni kosa kwanini?

    Wanaume wanapiga sana kelele kua wanawake wanapenda wanaume wenye pesa/uwezo wa kuwahudumia, lakini kwa nini hatuwasikii wanawake wakilalamika kua wanaume wanapenda wanawake wenye muonekano mzuri? Wanawake wanauwelewa mkubwa sana na nature ya mwanadamu. Kama vile wanaume wanavyopenda wanawake...
  13. Hemedy Jr Junior

    Endelea kupenda hela kuliko utu ipo siku utakumbuka maneno haya

    Asalaam alhkumu. This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi. Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi. Endelea na...
  14. matunduizi

    Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  15. Infinite_Kiumeni

    Mwanaume, Fanya Hivi Ukishajua Tofauti Ya Kupenda Kati Ya Mwanaume Na Mwanamke

    Wanaume wanaangalia vitu vya nje, kama umbo, rangi au nywele na hapo hapo wanaamua kama wamempenda mwanamke kimapenzi au la. Hata kabla hajaongea naye anaweza jisemea “huyu ndo namuoa”, japo hajui chochote kuhusu huyo mwanamke, na hata akiongea naye mara nyingi atajifanya haoni vitu vibaya na...
  16. chiembe

    Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
  17. BARD AI

    Viongozi wa Dini waonya tabia ya Viongozi wa Serikali kupenda kusifiwa

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo wametoa ujumbe wa Krismasi kwa waumini wao, ukiwemo unaowataka viongozi wa Serikali kuwa makini na sifa wanazopewa na wateule wao kwa kuwa ni mbinu ya kuficha udhaifu. Vilevile, wamewataka viongozi pamoja na watendaji watumie sikukuu hiyo...
  18. emmarki

    Nawahurumia sana viumbe hai ninapowakuta kwenye matatizo

    Habari wanajamvi, Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha. Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao. Nikupe...
  19. Ibrahimeliza

    Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  20. Ibrahimeliza

    Kitu gani kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa?

    Hivi kitu gani ambacho kinawafanya watu wengi kupenda kufanikiwa ...?? Kila mtu anapenda kufanikiwa, sio...?? Huwa tuna sukumwa na nini...?? Najua sababu zipo nyingi ila za msingi ni zipi....??
Back
Top Bottom