kupiga kura kidigitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi waruhusiwa kupiga kura kwa kutumia NIDA, Leseni ya Udereva na Passport kwenye Uchaguzi mdogo utakaofanyika Kilimanjaro, Morogoro kesho

    Wapiga kura 20,851 waliomo kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura wanatarajiwa kushiriki uchaguzi wa madiwani katika Kata ya Kirua Vunjo Magharibi, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na Kata ya Mindu, Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro mkoani Morogoro. Kulingana na Tume Huru ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Namna pekee ya chama changu CCM kukabiliana na "No reform no election" ni kufanya uchaguzi kidigitali zaidi!

    Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima! Namna pekee ni kutumia vifaa vya electronic kama sim kupiga kura,yaani Kila raia mwenye sifa za kupiga...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Hatuwezi kuwa na electronic registration kwa wapiga kura?

    Mtu mzima kwenda kupiga foleni kujiqndikisha wakati unatakiwa utafute hela hii nayo ni shida.ukimwengu wa kidigitali jamani. Tehama watengeneze namna mtu anaweza kujiqndikisha online na kuoiga kura online Kwanza wasomi ndiyo tuna uwezo wa kuchagua kiongozi.sasa wa darasa la Saba au chini ya...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Sitapiga tena kura labda mfumo uwe wa kidigitali

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Mussa Assad amesema hatojisumbua tena kushiriki zoezi la kupiga kura. Amesema hayo kwa hoja ya kwamba Watanzania huwa wanashiriki kupiga kura lakini hawashiriki uchaguzi. Kwa maana ya kwamba kura haina maana katika uchaguzi. Aidha amesema...
Back
Top Bottom