kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vitambulisho vya NIDA ndio vitumike kupiga kura wakati wa Uchaguzi

    Kamati ya Uchaguzi wa Taifa (NEC), inatakiwa ishirikiane na mamlaka ya utambulisho wa utaifa (NIDA) katika mchakato wa upigaji kura. NIDA wanatumia finger print sambamba, na wanachukua taarifa mbalimbali za watu. Hivyo mtu aruhusiwe kupiga kura kwa NIDA na vitambulisho vya kura vifutwe. Na kwa...
  2. Kupiga na kutesa wanyama wasio na hatia wala akili ni kiashiria moja wapo cha kuwa na upungufu wa akili (Mbwiga)

    Na ni hasa kwa jamii nyingi za kiafrika, mtu unakuta tu anapenda kuwatesa wanyaa na kuwadharau, ni mtu huyp huyo hujivika unafiki wa kwenda kanisani / msikitini wakati hutesa viumbe vya Muumba Ng'ombe anayechelewesha msafara yuko mbele lakini unakuta mtu anamtia bakora ng'ombe wa nyuma...
  3. Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

    Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali, Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...
  4. Kwenye game linda sana brand yako, IT wa bongo mnakubali vp kupiga window kwa elf 5?

    Elfu 5, Yes! wala sijakosea ni 5,000. Nimeenda sehemu namkuta graduate wa computer science anapiga window kwa elf 5, like seriously guys? Mtu kasoma chuo kwa mamilioni halafu atoe huduma kwa elfu 5? Ni wazi hatambui hata uzito wa CV yake ya kusomea taaluma yake kwa miaka mitatu chuoni.
  5. Hizo Nguvu mnazotumia kupiga Punyeto mngezitumia kwa wanawake wenu hakika wasinge-cheat

    Sitakuwa na muda wa salamu kwa majitu ambayo kutwa kucha yanapiga punyeto,shame on you!. Hivi unawezaje kuwa na mwanamke kitandani usiku kucha unaishia kumkung'uta kabao kamoja au viwili tena kwa taabu? Yaani dume zima unakuta ile saa 3 usiku linaparamia mwanamke utadhani kuna ugomvi kisha...
  6. NEMC yasema imewafungulia waliofungiwa kwa kupiga kelele lakini yatoa onyo kwa waliojisahau

    Mkurugenzi Mkuu wa NEMC, Dkt Samuel Gwamak Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Dkt Samuel Gwamaka awataka wamiliki wote wa baa na kumbi za burudani kuzingatia Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya mwaka 2004 na Kanuni zake wakati wakiendesha shughuli...
  7. K

    Je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring?

    Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
  8. M

    Mafundi wa Kupiga Rangi

    Wadau naomba msaada wa Connection ya Mafundi wa Rangi wazuri Moshi na Arusha...
  9. Vijana 8 kizimbani kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana

    Watu nane wakazi wa eneo la Porikwapori wilayani Kiteto mkoani Manyara, wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya hiyo kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja kwa kushirikiana. Watuhumiwa hao kwa pamoja wamesomewa shtaka hilo leo Jumatatu Agosti 28, 2023 wakiwa mahakama ya Wilaya ya Kiteto chini ya...
  10. Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

    Malasusa amepata kura 167 ambazo ni asilimia 64 ya kura zote zilizopigwa Askofu Malasusa alikuwa anagombea dhidi ya askofu Abednego Keshomshahara wa Dayosisi ya Bukoba aliyepata kura 73 na Askofu Dr George Fihavango wa Dayosisi ya Njombe aliyeshindwa katika duru ya kwanza. Hii itaakuwa ni mara...
  11. kwanini wanawake wakibeba mimba nje ya ndoa wanapenda kutaarifu kwa meseji badala ya kupiga simu ama kuongea uso kwa uso?

    Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
  12. Simba na Yanga zina uhakika wa kushinda mechi 20+ kati ya 30, je kuna mbinu ya kuweza kupiga pesa kwenye beting?

    Ni timu ambazo zina probability kubwa za kushinda, katika mechi 30 kuna mechi 20+ wanaweza kushinda Tena hapo ukiondoa mechi 2 za derby na 2, probability inazidi Je, pana uwezekano wa kupiga pesa? Mapato utayopata wakishinda mechi 20 kati ya 26 (ukiondoa 4 za debi na azam) yatazidi pesa...
  13. Usawa wa mwanamke na mwanaume kwenye ndoa za kikristo ndio huwapa viburi wanawake kuanza kuwashushia vipigo waume zao

    Vitendo vya unyanyasaji kwa wanaume wa kikristo kupigwa na wake zao vimeshamiri kiasi kwamba wanaume wameamua kuweka aibu pembeni na kuililia serikali ifungue dawati la unyanyasaji kwa wanaume, licha ya hivi bado msaada unakuwa mdogo maana wakikimbilia polisi ama ustawi wa jamii wanachekwa. Si...
  14. G

    Ilikuwaje ukaingia kwenye uraibu wa kupiga punyeto?

    Wakuu kwema? Nakumbuka ilikuwa 2010 nikiwa kidato cha tatu baada ya kutoka prepo tulikuwa tunaenda saa nne kulala. Bwenini tulikuwa tunakaa watu nane wanne chini na juu watu wanne pia. Basi bhana mida ya saa sita nilibanwa kwenda kukojoa nilivyosituka nikasikia jamaa tuliekuwa tunakaa karibu...
  15. Electronic warfare: Urusi yakwamisha vifaa vya kimarekani,haviwezi kupiga tena.

    imeelezwa kuwa uwezo wa Urusi kubadili mbinu katikati ya mzozo imeipa nguvu kubwa ya kupambana na silaha ilizopatiwa Ukraine ambazo zinatumia GPRS ili kupata shabaha zake. Mwanzoni Urusi ilikuwa inatumia mitambo mikubwa kwa ajili ya kazi hiyo ambayo ilikuwa ikitembea katikati ya msururu wa...
  16. R

    Mbowe aendesha zoezi la kupiga kura ya wazi juu ya hoja ya Bandari akiwa Nyehunge Geita

    Baada ya zoezi Hilo la kupiga kura ya WAZI, Matokeo ni kuwa, Wananchi wote wameazimia Kwa pamoja kuwa Bandari zetu haziuzwi, hazikodishwi Wala kugawiwa Bure. Pia wananchi wameweka mikono kichwani na kupiga ukunga/nduru na kulia uwi! Hii ni Ishara kuwa, wananchi wanachukizwa na jaribio lenye...
  17. Mwenye dada hakosi shemeji, IGA ni posa tu. Je, tuendelee kupiga kelele kuzozania posa, au tutulie tupange Mahari ya maana kwenye HGA?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye swali, hoja, kisha majibu utatoa wewe msomaji mwenyewe. Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Mwenye Dada Hakosi Shemeji!". Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee...
  18. SoC03 Kuelekea Utawala Bora Tanzania: Kupiga Hatua Mbele

    Utalii, Teknolojia, Uadilifu, na Uwazi: Mabadiliko ya Kweli kwa Tanzania Tanzania, kama taifa lenye utajiri wa kipekee wa rasilimali za asili na utamaduni wake mzuri, ina fursa ya kipekee kuongoza katika bara la Afrika kuelekea utawala bora. Utawala bora unahusu maendeleo ya nyanja zote za...
  19. N

    SoC03 Uliwengu wa kidigitali katika kuongeza ufanisi wa kiutendaji(Sensa & Kupiga kura)

    MATUMIZI YA MIFUMO YA KIDIGITALI KATIKA UCHAGUZI & SENSA YA WATU NA MAKAZI. Miongoni mwa mambo mazito katika utekelezaji ususani kwa nchi zinazoendelea ni maswala mazima ya kuendesha na kusimamia zoezi la uchaguzi pamoja na sensa za watu na makazi. Gharama nyingi sana utumika kusaidia...
  20. R

    Waliopewa kazi ya kupiga picha za Mikutano ya CCM kwanini wanapiga watoto(wanafunzi) picha badala ya watu wazima?

    Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima? Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…