Umasikini ni janga kuliko hata UKIMWI, umasikini unahitaji akili kubwa ili ukabiliwe lakini sio ukimwi,umasikini unamizizi lakini sio ukimwi,umasikini ni chanzo cha kusambaa kwa ukimwi lakini ukimwi ni chanzo cha kuongezeka kwa umasikini kwa kiwango kidogo,umasikini unatisha hata zaidi ya...
Najiuliza juu ya viongozi wanaolaumiwa kwa ukatili na mateso kwa raia. Viongozi kama Iddi Amin , Jean Bokasa na wengine wengi wanalaumiwa.
Lakini kiuhalisia Je yupo ambaye hajawahi kufanya ukatili?
Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi!
Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya,
Ni kumuunga...
Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi mlalahoi anaachiwa vumbi TU! Ikulu imekuwa sehemu ya matajiri kwa Kila jambo sisi tutaenda lini...
Lucas Helmke (33) ameweka rekodi hiyo katika ukumbi wake wa mazoezi uliopo Brisbane kuvunja rekodi iliyowekwa na raia mwenzake wa Australia, Mwaka 2022.
Kila push up ilibidi isiwe na dosari ili kufikia viwango vinavyohitajika kwa rekodi rasmi ya Dunia, akitakiwa kuuweka sawa mwili wake...
Salamu.
Kwanza watawahamisha mazima wateja wote kutoka mitandao mingine na kuingia kwao kwa sababu watakuwa na vifurushi vyenye gharama nafuu hii itatokana na gharama za kuendesha mtandao zitakuwa ndogo kutokana na kutojihusisha na internet.
Internet inakula gharama sana kwenye matumizi na...
Habari!
Nikiwa kwenye utumishi wa umma kwa miaka karibu 8 sasa nina experience ya kutosha kuhusu utumishi na maisha ya utumishi.
Kama mlinzi msomi mwenye shahada ya HRM nimefanya utafiti wa kutosha na kujiridhisha kuwa watumishi wa umma % kubwa wanakwenda kazini huku kichwani wamebeba mawazo...
Hakuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda kama Watoto na Kucheza nao (japo ni Muoga wa Kuzaa) hivyo nikiona Wanaonewa au Wanateswa huwa Ninaumia mno na hata Mood ya Siku nzima Kuharibika.
Nimekutana na Mama Mmoja akimpiga mwanae wa Kumzaa Kofi ambalo hata Mtu mzima akipigwa lazima Vita Vitaanza kwa...
Achana na magitaa kila mtu anapiga,qchana na vinanda.
Unataka kuchakata wanawake wakila aina jifunze saxophone
Mimi nakilaani hiki kifaa maana kimenifirisi kupitia wanawake.
Kuna rafiki yake na mzee wangu alikuwa kwenye brass band ya JWTZ miaka ya nyuma akaacha saxophone yake nyumbani akaenda...
Taasisi ya Waislamu kwa haki za binadamu(MUHURI) imesema ni dhihaka kwa watu wa Kenya na sheria zake kwa Inspekta generali wa Polisi, Japhet Koome kuhutubia kupitia vyombo vya habari vya Kenya na kusema maandamano yaliyopangwa na Azimio yamepigwa marufuku kwa kiburi.
MUHURI imemkumbusha IG...
Si kila mwanaume anaekwambia anakupenda anamaanisha. Haijalishi kwamba kakufanyia kitu gani iwe kukupa muda wake, kukusaidia, kukupa furaha, kukujali, kukupa pesa, n.k, kuna wanaume ambao huyafanya haya wakiwa bado hawapo timamu.
Kwa mwanaume ambae kamfata mwanamke kwa lengo la starehe huyu...
Yuko kijana mvulana alizua vurugu shuleni kujaribu kumpiga mwalimu. Mwalimu akaamua kuita wenzake kijana alipigwa na walimu watatu. Niliona ni bora kwa vile alikua amekosa nidhamu. Lakini wako baadhi ya watu walikua wakimtetea kijana huyo
"Katika kutunza Siri za Watumishi wa Serikali niwaase sana nyie Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wengine Serikalini muache Kupiga Vistorivistori mkiwa na Madereva wenu ndani ya Magari yenu ili kuepuka Siri zenu Kuzagaa na Kuaminika kwao hawa Madereva wenu wanawajueni zaidi kwakuwa muda mwingi mko...
Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu).
Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri.
Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi nyepesi kama wa kuzuia au kuleta mvua.
Wazee wetu hawa wakiwa field huwa wanajaribiwa kwa hicho...
Mkazi wa Kijiji cha Kiperesa wilayani Kiteto mkoani Manyara, Issa Shabni (32) amenusurika kifo na kulazwa hospitali ya Wilaya ya Kiteto baada ya kupigwa na tembo walioonekana wakirandaranda kijijini kwao.
Tembo hao wakionekana karibu na makazi yao wakila mahindi kisha watu kuwasogelea kutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.