Fadhili Mpunji
Moja kati ya sekta zenye maendeleo ya kasi duniani katika muongo huu, ni teknolojia ya habari na mawasiliano. Maendeleo ya sekta hiyo yanayotajwa kuwa mapinduzi ya tatu ya viwanda, kimsingi ni mapinduzi ya kidigitali, yanayohamisha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)...
Habari za muda huu ndugu zangu, namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga kinanda Arusha, akiwa maeneo ya mjini itakuwa vizuri zaidi, lakini pia akiwa nje ya mji sio mbaya. Kama upo au kuna shule maalum kwa ajili ya kufundisha kupiga vyombo vya muziki, naombeni mniunganishe na muhusika au...
Yaani ukipita huko Instagram ndio utajua matatizo ya ajira pamoja na afya ya akili ni makubwa sana.
Wadada wa mjini a.k.a Maslay Queen wameibuka na kamtindo ka kwenda airport na mabegi makubwa kupiga picha na kupost Instagram ili kutafuta attention na aonekane yeye ni wa hadhi ya juu ili...
Bunge la Ukraine limepiga kura kuunga mkono mswada unaopiga marufuku baadhi ya muziki wa Urusi kwenye vyombo vya habari na maeneo ya umma nchini humo.
Mswada huo, uliopata kura za uungwaji mkono 303 kati ya 450 unapiga marufuku baadhi ya muziki wa Kirusi kuchezwa kwenye televisheni, redio...
Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa.
Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali.
Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
Mwaka jana mwezi wa tano mama yetu kipenzi alifunga safari kwenda huko kwa jirani kufuja pesa za umma kwa kisingizio cha kurudisha demokrasia na uhusiano wa biashara waliodhani uliharibiwa na mtangulizi wake.
Moja ya vitu vilivyotumika kuonesha mafanikio ya ziara hiyo ni Ujenzi wa bomba la gesi...
Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema.
Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa...
Tuheshimu privacy za watu chabo sio jambo zuri hata kidogo yanayofanyika ndani ya kuta nne yabaki kuwa confidential unless kama yaliyofanyika yana maslahi mapana kwa jamii.
Kwa maslahi mapana ya wanaume wanaoandaliwa chakula na wake zao mimi BabaMorgan nimepata ujasiri wa kusema niliyoyaona...
Wadau wote hamjamboni?
Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe
Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story"
Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako
Niwatakie Sabato njema
Nimepokea taarifa kutoka kwenye chanzo chenye uhakika zikidai kuwa DC wa Bariadi amewashinikiza wananchi wa mtaa wa Mangaka wilayani Bariadi kupiga kura ya siri kuwaandika majina wachawi na wenye Fisi.
Takribani wiki tatu (3) zilizopita tulisikia habari za fisi kujeruhi na kuua watu kadhaa...
Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake, leo hii sitashangaa hapa kwetu mtu akihamia hata mtaa wa nne basi atamtelekeza mbwa wake.
kuwatesa wanyama ni kumtemea mate usoni Mwenyezi Mungu alieumba viumbe vyote,
kuna hizi tabia...
Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows...
DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Simba SC umepiga marufuku Tochi za miale ya kijani, ambazo zimekua zikitumiwa na Mashabiki kuwamulika wachezaji wanapokua kwenye makujumu yao Uwanjani.
Simba SC imepiga marufuku Tochi hizo, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.