Mwanafunzi MMOJA amefatriki SIMIYU kwa KUPIGWA na MWALIMU kisa kuchelewa kupeleka hmwk
Akiongea kwa huzuni mama MZAZI WA marehemu amesema mwanae alienda shule
Alipofika ghafla akapigiwa simu na mwl mkuu mtoto amepata shida akamuuliza shida gan akamwomba aje shule mtoto amedondoka
Akamwomba...
Mechi ya watani Simba Vs Yanga itapigwa saa 1:15 usiku kutokana na sababu za mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mechi ikianza Saa 1:15 maana yake itaisha saa 3:00 usiku
Vipi usalama kwa mashabiki watakaojitokeza na ambao wengine huambatana na familia zao, TFF wamezingatia kweli suala la usalama?
Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji.
Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika.
Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina...
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi.
Pamoja na ujinga aliokuwa nao Zelensky lakini kwa kumlinganisha na Benjamin Netanyahu basi yeye ni mtu mwema kidogo...
Nikiona mwana Simba SC yoyote atashangaa Matokeo ya leo huko Mwanza na Kuumia nayo nitamshangaa mno na pengine hata kumuona hana Akili.
85% ya Viongozi Pamba FC ni Yanga SC tupu+ GSM Yanga SC Kuidhamini + Kocha Minziro mwana Yanga SC kufa Mtu = Ushindi mnono Leo.
Licha ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa tangazo linaloeleza kuwa haihusiki na jambo lolote linalohusu Kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL) ambayo inavyoonekana kilio chetu ni cha Watu wengi, lakini nimeamua kuandika hapa kwa kuwa najua kuna wenzetu ambao wana msongo wa mawazo...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imebadili uwanja na muda wa kuanza kwa mchezo namba 167 wa Ligi Kuu ya NBC baina ya Simba na Azam ambao ulipangwa kufanyika kwenye Uwanja wa KMC Complex, Februari 24,2025 kuanzia saa 10:00 ambapo sasa utafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku hiyohiyo...
Ikumbukwe kuwa huyu mshtakiwa tu (mtuhumiwa
Maana yake anaweza akawa amefanya makosa kweli au Lah, wenye maamuzi ya mwisho huwa ni Mahakama.
Nimeona katika mitandao mbalimbali mtuhumiwa kuwekwa picha na tuhuma yake, mfano ya kubaka kuku.
Kumbukeni huu ni uzalilishaji.
Leo hii mimi...
Amani kwenu wakuu
Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku
==================
Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
Bodi ya ligi imepanga maboresho ya ratiba ya ligi kuu NBC, huku ikiipa Derby ya Kariakoo tarehe 8 March
Simba pia atarudiana na Azam tarehe 24 March katika Mzizima derby, huku Yanga wakirudiana na Azam tarehe 10 April
Usiku wa deni hauchelewi
Kumbuka Simba alipigwa ataingia kwenye record ya...
Shule ya BEROYA MISSION SECONDARY SCHOOL iliyopo mkoa wa Pwani, Bagamoyo kijiji cha matimbwa ilianza kuchapa wanafunzi mwishoni mwa mwaka 2023 kwa kutumia mabomba ya maji.
Watoto wanakuwa na hofu inawa affect kisaikolojia muda wote kuwaza kuchapwa kisa ufaulu uwe mzuri sana (HAISAIDII MAANA...
Alute Munghwai, Kaka wa mwanasiasa maarufu wa upinzani, Tundu Lissu, ameonyesha masikitiko makubwa kuhusu ukosefu wa maendeleo katika uchunguzi wa tukio la kupigwa risasi kwa ndugu yake jijini Dodoma miaka saba iliyopita.. Akizungumza kwa masikitiko makubwa, amesema:
“Ukumbuke alivyoshambuliwa...
Chekechea - miaka 2
Msingi - miaka 7
Olevel - miaka 4
Form 5 / Dip - miaka 2
Degree - Miaka 4
kujitolea kupata ujuzi - miaka 3
Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam.
Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo...
SWALI KWA ZITO :NONDO AKATAA KUPIGWA PICHA?
AU msimamo wa chama kwamba picha za majeruhi hazioneshi kwa jami?
PIA SOMA
- ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA UMMA
Dodoma, Tanzania
Chama cha Mapinduzi, kimepokea kwa mstuko mkubwa taarifa za kifo cha Katibu wa CCM Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa, Bi Christina Kibiki aliyeuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiyojulikana.
Marehemu alikuwa anajindaa kuhudhuria Semina...
Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana
Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa
Pia soma:
~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji
~ Jeshi la Polisi kuunda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.