Maswali yanaulizwa kuhusu taratibu za usalama katika ndondi ya Zimbabwe kufuatia kifo cha Taurai Zimunya baada ya kupigwa katika pambano mjini Harare.
Zimunya, 24, wa uzito wa Super bantam, alifariki siku ya Jumatatu, baada ya kuzimia wakati wa pambano lisilo la ubingwa siku ya Jumamosi.
Ni...
Wakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake.
Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi.
Sasa hivi ni...
Tz na sehemu nyingi kuna imani imeenea kuwa kutumia simu wakati wa radi kunaongeza uwezekano wa kupigwa na radi.
Lakini katika kuangalia mitandaoni nimeona zinasema kuwa huu ni uzushi. Wanasema simu haina umeme wa kufanya ivutie radi.
Lakini wamesema kuwa simu za mezani ni hatari wakati wa...
Tuliambiwa tozo za miamala ya simu ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa. Kadhalika, juzi kati serikali ya mama samia imekopa kiasi cha zaidi ya trioni moja kutoka IMF ambapo zaidi ya mabilioni ya pesa kwenye huo mkopo yametengwa kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kama sehemu ya maandalizi ya...
Kama lipo eneo Magufuli aliwa-win wabongo ni kuwaaminisha kwanza Tanzania ni Nchi tajiri huko akitolea mifano akiba ya rasilimali tulizonazo na zaidi akiwaachia uhuru usiyo na mipaka walalahoi kufanya lolote lile wanalotaka huku akitoa amri ya wasifanywe lolote. Rejea machinga.
Sasa,kwa...
Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka
Canada 2.77
United States of America2.22
Germany1.47
Norway1.25
UK 1.1
Finland1.02
Zimbabwe0.99
Japan0.92
Indonesia0.81
Netherlands0.71
France0.69
China0.55
Papua New Guinea0.46
Philippines0.41
Belgium0.4...
Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa Mtu tukiwa Wawili nakumbuka ukiachia mbali Kuadabishwa nae, ila kama Tanzania siku hiyo ilikuwa...
Mali za Impala na Naura Spring Hotel mkoani Arusha zitauzwa ili kulipa madeni zaidi ya TZS 1.2B ya wafanyakazi.
Mchanganuo:
Wafanyakazi wa Naura- 68
Deni- TZS milioni 180
Wafanyakazi wa Impala- 165
Deni- TZS milioni 787.5
Fedha nyingine zitalipwa mifuko ya hifadhi ya jamii.
Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇
“Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na...
TUNDU LISSU: "hajawahi kunipigia simu, zaidi ya kwamba nilimsikia akizungumzia kushambuliwa kwangu kwenye vyombo vya habari...."
TUNDU LISSU: "....alichokisema hakikuwa necessary, ni bora sana angekaa kimya...."
Msikilize mwenyewe. Kisha toa maoni yako au toa "like" basi....
Mwanamasumbwi wa kike raia wa Mexico, Jeanette Zacarias Zapata amefariki dunia baada ya kupita siku tano tu tangu kupokea kipigo cha ‘KO’ ulingoni.
Jeanette Zacarias Zapata, 18 aliyefariki dunia
Zapata mwenye umri wa miaka 18, alipigwa ‘Knocked out’ raundi ya nne dhidi ya bondia Marie Pier...
Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto.
Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
Meja Jenerali Hassan Ahmed
Watu wasiojulikana nchini Nigeria wamempiga risasi na kumuua mmoja wa vigogo wa jeshi la nchi hiyo, Meja Jenerali Hassan Ahmed.
Meja Jenerali Ahmed aliuawa usiku wa Alhamisi nje kidogo ya Abuja wakati gari lake liliposhambuliwa kwa risasi, akitokea jijini Lokoja...
Kupitia bila kupingwa ni mbegu mbaya kidemokrasia nchini.
Eneo ambalo mgombea atakuwa hana mpinzani,asitangazwe hadi uwepo ushindani zaidi ya mgombea mmoja
Wananchi wananyimwa haki za msingi kwa sheria mfu.
Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya.
Tuna sheria za adhabu kwa umma na utumishi ambazo tumejiweka na hatuna budi kuziheshimu na kuzifuata.
Vitendo hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.