kupigwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kamanda Jeshi la Wanahewa la Zambia adaiwa kupigwa risasi na mkewe

    Lusaka, Zambia Picha maktaba : Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha mstaafu na mkewe Jane Lusengo Shikapwasha . Bi. Jane Lusengo Shikapwasha umri miaka 73 (kulia ktk picha) ambaye ni mke wa Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha ni mshukiwa mkuu wa madai ya mauaji hayo. Kamanda huyo wa...
  2. Geita: Auawa kwa kupigwa risasi wakati akichanja kuni kwenye hifadhi

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia Askari wanne wa maliasili kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Semeni Hamisi (34), mkazi wa Kijiji cha Nyamigota, Kata ya Nyamigota, baada ya kukutwa ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Samina akiokota kuni za matumizi ya nyumbani. Mkuu wa Wilaya ya Geita...
  3. Mbunge ataka Bunge lisitishe shughuli zake kujadili vurugu, watu kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi. Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
  4. Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  5. Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  6. Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

    Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu. Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba...
  7. SI KWELI Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefariki Dunia kwa Kupigwa Risasi

    Mtumiaji wa Mtandao wa Twitter anayejulikana kwa jina la MchiziMox Juni 8, 2023 amechapisha andiko linalosema kuwa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefariki dunia kwa kupigwa risasi. Ukweli wa taarifa hii upoje?
  8. TANZIA Mtanzania afariki kwa kupigwa risasi South Africa

    😭😭TANZIA TANZIA TANZIA 😭😭 Ndugu zangu ninawaletea taarifa ya msiba mwingine. Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania mwenzetu bwana Mohammed Ramadhani aliyekuwa akiishi South Africa katika jiji la Cape Town jimbo la Fley. Ndugu yetu Mohammed amefariki usiku wa jana huko Cape Town kwa kupigwa risasi...
  9. Maandamano Kenya: Mmoja auawa kwa kupigwa risasi

    Imeelezwa tukio limetokea Mjini Kisumu wakati wa maandamano ya kupinga Serikali yanayofanyika kwa mara ya pili yakiratibiwa na Umoja wa Azimio. Imeelezwa kumetokea vurugu kati ya Polisi na umati wa watu uliokuwa ukishiriki maandamano, Askari walitumia mabomu ya machozi lakini waandamanaji...
  10. R

    Ona muujiza wa Lissu kwenye kupigwa risasi, tazama nerves na risasi zote lakini zilibaki intact!

    Sijui kama naeleweka. Angalia hiyo sciatic nerve kwenye picha hiyo ambayo ni sawa na mguu wa Lisu mimi na wewe. Mguu wote wa Lisu ulinyombuliwa na risasi, lakini nerve ilibaki intact ( na neves zingine). Hana tatizo la paralysis/dumbness of any body part/leg part due to nerve damage! (note huu...
  11. TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini --- Statement Rasmi kutoka kwa Familia ya AKA ======...
  12. K

    Prof. Lipumba: Kupigwa risasi haikuongezei sifa ya kuwa Rais wa Tanzania

    Prof. Lipumba wakati anajibu maswali mbalimbali ya Waandishi wa Habari amemlipua Tundu Lissu kuwa ajue kupigwa risasi siyo sifa ya kukufanya uchaguliwe kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Lipumba amesema kwenye sifa za mtu kuwa Rais wa Tanzania kupigwa risasi haipo, hivyo Lissu...
  13. M

    Rais Samia, unda Tume kuchunguza kupigwa risasi Tundu Lissu

    Mama Samia, Rais wetu mpendwa, Unda Tume ya watalaam wetu wa ndani na nje kuchunguza kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Saanane Pamoja na watu wengine. Kama nchi tunaonekana wa hovyo sana kuwa na serikali ambayo haiko tayari kujua kilichowapata raia wake. Tunafananishwa na Kenya ya...
  14. Tundu Lissu hebu tueleze vizuri tukio la kupigwa risasi lilivyotokea haya uliyotoa yanaacha maswali mengi sana

    Maelezo ya Lissu alipohojiwa na CLOUDS Nafasi za parking zimechukuliwa imebaki moja kwa sababu niko mbele nikaingia kwenye hiyo parking. Wakaingia upande wa kushoto wanatafuta eneo la kupaki kuna magari, kulia kuna magari wakageuza gari kuelekea walipotokea dereva akaniambia nisishuke...
  15. Sintofahamu yazidi kwa anayedaiwa kupigwa Risasi na mwajiri wake Morogoro

    Wakati kijana aliyepigwa risasi mkoani Morogoro, Benjamin Shinda (26) akiwa hospitali kwa matibabu, inadaiwa mtuhumiwa bado yupo uraiani. Shinda (pichani) alidaiwa kupigwa risasi Januari 12, mwaka huu na mwajiri wake. Akizungumza na Mwananchi jana, Shinda, mkazi wa Mtibwa mkoani Morogoro...
  16. Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  17. Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi ni ukumbusho tosha kuwa Mungu anaishi

    Tuishi kwa kwa kupendana. Maana ghadhabu ya Mungu kwa wale watoao uhai wa mtu huwa ni kubwa mno. Uzi tayari
  18. Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
  19. TANZIA Mtanzania auliwa kwa kupigwa risasi Marekani, anaitwa RODGERS KYARUZI, alipata maluweluwe

    Poleni sana wafiwa, Poleni sana Watanzania popote mlipo, Poleni sana Tanzania Diaspora wa USA. sote tunyayue sauti kulaani kitendo hiki. USA wanajulikana kwa ubaguzi wao kwa watu weusi, huyu Mtanzania mwenzetu na yeye yamemkumba? Au kauliwa na mweusi mwenzake? The Georgia Bureau of...
  20. Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Picha: Dkt. Willbrod Slaa Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita. TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA “Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…