Wakuu, kuna watu wanaamini kuwa mwanamke anayejua kupika hasa ugali, ndiye mwenye sifa za kuwa mke bora. Lakini mimi najiuliza jamani hivi ni kweli uwezo wa kujua kupika ugali ndio kigezo cha kumpima mwanamke kama anafaa kuwa mke?
Okay, tuseme mwanamke ana sifa nyengine nzuri, anaelewana ana...