Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote...
Hivi kwa nini hawa vijana wa CCM ni debe tupu kichwani?Hivi ni lazima ukishakuwa CCM ni lazima akili zipeperuke? Hawa vijana wa CCM juzi walijifanya kuwa ni BAVICHA wanaopinga katiba mpya huku wakiwa wamevalia T-shirt za kuhamasisha katiba mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna mtu yeyote ambae...
Nawasalimu katika jina la jamhuri ya muungano wa Tz (Hata usipojibu mi naendelea tu)
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 wakati Tv ndo zinapata umaarufu hapa nchini watu walipinga sana hii issue wakisema itatuharibu macho, maadili na pia ni kazi ya shetani
Wakati simu za mkononi zinashika kasi pia watu...
Kama kuna Mbunge ambaye si tu hapendwi bali pia hakubaliki Kawe ( hadi na Mimi GENTAMYCINE Mwenyewe ) basi ni huyu 'Tapeli wa Kiroho na Kiimani' Josephat Gwajima (alias) Askofu japo nikimfananisha na Maaskofu ninaowajua wa Madhehebu mengine naona hatoshei (hafai) hata kidogo Kuitwa (kuwa) Askofu...
Zaidi ya watu laki moja wameandamana kote Ufaransa kupinga hatua za hivi karibuni za serikali za kuwashinikiza watu kwenda kuchanjwa.
Serikali inalenga kuzuia maambukizi ya virusi vipya aina ya Delta vinavyo sambaa haraka.
Huko Paris, maandamano tofauti ya mrengo wa kulia na mrengo wa...
Bila shaka mpo salama wanajukwaa.
Hivi karibuni katibu wa Chama cha Walimu wilayani kwetu amezunguka kwenye shule za hapa wilayani.amekuwa akipinga uanzishwaji wa bodi ya walimu, nijuavyo mimi CWT ndio inaongoza kumnyonya mwalimu.
Kuna lipi la muhimu kwa mwalimu hadi cwt ijifanye inamtetea...
Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma.
Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school.
Sikiliza audio hapo.
Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu.
Ndalichako...
antony mtaka
elimu
kufanya
kupinga
kuvunja
maagizo
magufuli
mkoa
mkuu
mkuu wa mkoa
nchini
ndalichako
nguvu
profesa
sera
sheria
wanafunzi
wapi
watanzania
waziri
waziri wa elimu
Nawaonea huruma wanaharakati wa Tanzania ambao wamejitwika zigo la misumari vichwani mwao kuhakikisha kazi na sifa njema za aliyekuwa Raisi wetu JPM wanazipinga na kuwakwamisha wote waliokuwa wafuasi wake kama wanavyajaribu kwa mwanamziki wa kimataifa wa Kitanzania Maarufu kwa jina la Daimond...
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.
Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na...
Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai.
Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
Wamesema kwamba wanafungua kesi hiyo ili kulinda heshima ya Wafungwa wawapo Jela, ambako haki na utu wao unapuuzwa.
Walalamikaji hao ambao pia ni wabunge wa Zamani na WAFUNGWA WASTAAFU wanadai kwamba Wafungwa wa Tanzania wawapo gerezani wanalazimishwa Kupima Ukimwi huku Majibu ya vipimo hivyo...
Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho
Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina
Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au...
Maandamano yameibuka Nchini Chad ambapo Waandamanaji wanataka Utawala wa Kiraia kurejeshwa baada ya Jeshi kuchukua madaraka kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby.
Imeripotiwa watu wawili wamepoteza maisha katika maandamano hayo. Msemaji wa Baraza la Jeshi amesema amesema Vikosi vya Usalama...
Wakazi wa Magamba Songwe wachoma mazao yao ya ufuta mashambani mwao kupinga agizo la mkuu wa wilaya ya kutaka wauze kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ambao wanasema hauna faida kwao
SOURCE : channel 10 taarifa ya habari
Lazima tujiulize juu ya huyu mwasiasa na mfanyabiashara mahiri ndugu Freeman Mbowe,ataacha legacy gani ya kisiasa hapa Tanzania?
Dr Slaa ameshatufunza kupambana na ufisadi, kukataa kuuza utu na vyama vyetu. Dkt. Slaa ametufunza kuwa wasema kweli na watu wenye misimamo. Sasa huyu mwamba...
Hivi karibuni, miji mingi nchini China ikiwemo Beijing, Shanghai na Guangzhou imezindua kazi ya kuwapatia kwa hiari raia wa kigeni chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19, ikiwa ni juhudi za kuwapa wageni haki sawa za kuchanjwa kama wachina.
Kijana Adhere Cavince kutoka Kenya ni mwanafunzi wa...
Ndugu zangu watanzania,
Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu.
Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania.
Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga na kuuza nchi yetu kwa mataifa mengine. Hebu fikirieni kuna nchi mpaka sasa zimekabwa mashirika yao...
Kumbe wajerumani wanafahamu kuna madini mengi na ya thamani kubwa ukiacha uranium ya aina mbalimbali eneo hilo la bwawa la stieglers gorge, wanajua tukianza mradi huo tutayagundua yote na kuanza kuyachimba ndiyo maana wanaweka vikwazo ili ikiingia madarakani serikali dhaifu wairubuni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.