Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia Mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), yaliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili.
Kitilya, Shose...
Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo
China bado imeweka Sheria ngumu za kuhakikisha inamaliza kabisa janga la UVIKO-19 ikiwemo vizuizi vya kutoka ndani. Nov 26...
Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Leo
Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
Katika siasa kuna ishara pia kama ulimwengu wa imani ulivyo, tofauti na ishara za kiimani ambazo ni za kiroho zaidi hivyo kufanya kuwa ' unpredictable' ila ishara za kisiasa ni 'predictable' kwa sababu zinasomeka kupitia mtiririko wa matukio( trend reading)
Kitendo cha Rais ambaye ni mamlaka ya...
Makumi ya maelfu ya Waitaliano wameandamana kwa ajili ya amani huko Roma
Umati wa watu ulimiminika kwenye mitaa ya Roma siku ya Jumamosi kutoa wito wa amani nchini Ukraine. Waandamanaji hao pia waliitaka serikali ya Italia kuacha kuipatia Kyiv silaha na badala yake kushirikiana na Urusi...
Kigamboni hakuna maji ya bomba tangu Uhuru, neema ya kisima iliyopatikana inapelekwa mjini kabla ya wanakigamboni kupatiwa maji hayo kwanza!
Malalamiko yamepelekwa kwa wahusika kwamba maji yasambazwe kigamboni kwanza kabla ya kupelekwa mjini, hawajatusikiliza!
Tumeamua kufikisha ujumbe wetu...
Kiongozi wa chama cha Narc Kenya Martha Karua ambaye alikuwa Mgombea Mwenza wa Urais wa Raila Odinga amehamia Mahakama ya Afrika Mashariki akiikashifu tume ya uchaguzi kwa kazi "mbaya" na Mahakama ya Juu zaidi kwa kutupilia mbali ombi la uchaguzi wa urais wa 2022 lililopinga ushindi wa Rais...
BUNGE LA WANANCHI:
KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)!
“Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa”
I. UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
Inavyoonekana harakati za kudai mageuzi ya kweli kupitia chadema zimeingia kwenye zama ngumu sana kuwahi kutokea katika taifa letu.
Kwa kadri ccm inavyobadilibadili ma dj wake na midundo ya muziki inavyogeuzwageuzwa, ni kama kuna namna wananchi wananogewa na mziki wao.
Nimefikia kufikiri hivi...
Serikali ya Iran inaedelea kumpigania "mungu" wao kwa kuua wananchi, ila hao wananchi wamechachamaa, itabidi wafe wote.
Watu wamechoka kulazimishwa dini na serikali, yanapaswa kuwa maamuzi ya binafsi.
Protests in Iran are continuing despite a crackdown by security forces that one human rights...
Ombi hilo limesainiwa na Waziri Mkuu Ariel Henry kwenda Jumuiya za Kimataifa linaeleza kuwa nchi inakabiliwa na hatari ya mgogoro mkubwa wa kibinadamu na hivyo inahitaji msaada wa haraka kudhibiti uhalifu wa magenge yenye silaha.
Tayari Ubalozi wa Marekani umesema Serikali yao haiwezi kwasasa...
Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel.....
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that...
Baadhi ya makocha wa Premier League wanataka matumizi ya Teknolojia ya kumsaidia mwamuzi uwanjanani ( (Video Assistant Referee -VAR) kuondolewa kutokana na waamuzi kufanya makosa licha ya kuitumia.
Kocha wa Tottenham, Antonio Conte amelalamika waamuzi wa England kushindwa kutafsiri Seria za...
Hatua ya serikali kutoza tozo kama njia ya kuongeza mapato yake ili kutoa huduma kwa wananchi ambao wanadai hiki na kile, imepokelewa kwa kiasi kikubwa kwa kukataliwa ikiwemo na wabubge wenyewe waliopitisha sheria hizo.
Wakati upingaji huu unatokoea na kuendelea, wanaopinga wanakubali tozo toka...
Mamia ya Wananchi wameandamana katika Mji Mkuu, Tunis kupinga bei ya juu na uhaba wa baadhi ya vyakula na bidhaa Muhimu kama Sukari na hivyo kuzidisha shinikizo kwa serikali ya Rais Kais Saied, huku nchi hiyo ikikumbwa na mzozo wa kiuchumi na kisiasa.
Tunisia inakabiliwa na mfumuko wa bei...
Endeleeni tu Kupuuza Maandiko yetu hapa JamiiForums na Kuupuza huu Mtandao ila kama kuna Mtandao nyie mlioko Serikalini na huko sehemu Nyeti za Umedani (JWTZ) na Unjaguni (TISS) mnatakiwa muwe mnauheshimu na Kuufuatilia ili kuwa Bora katika Utendaji wenu basi ni huu wa JamiiForums.
GENTAMYCINE...
Maelfu waendelea kuandamana kupinga kisa cha mwanamke kuuawa kwa kutokuficha nywele zake kama dini ya waislamu inavyoagiza.
Wanawake wameamua kuonyesha nywele kabisa..
Iran has come under pressure since the 22-year-old woman died in police custody. Iran's President Ebrahim Raisi, meanwhile...
Mpaka sasa wamekamatwa 525 kwenye maandamano ya kupinga hiki anachokiita "mobilization" ya Warusi kwenda kupigana na kainchi ka-Ukraine...
Several hundred people have been detained across Russia on Wednesday as rallies against a military mobilization declared by President Vladimir Putin for the...
Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo.
======
At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.