Salaam!
Je, ni sawa kupanga kujenga mnara pasipo kukaa chini na kupiga hesabu juu ya gharama zake?
Siasa ni sayansi, je ni sawa chama Cha siasa kumpitisha mgombea asiyekubalika ,asiyekidhi matakwa ya wapiga kura?
Ni sawa kuleta mgombea asiyependwa na wananchi?
Ni sawa kupeleka n'gombe...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameonya vikali Wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani na uwakilishi ambapo Balozi Nchimbi alisema baadhi ya Wanachama wanaotaka nafasi za uongozi wanaanza kupitisha fomu ili watangazwe kuwa Wagombea pekee ambapo amesema...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewatoa hofu vijana ambao wanataka kuwania nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi kuwa wakae tayari kuwani nafasi hizo kwakuwa ajenda ya Mitano Tena ni kwa Mgombea wa Urais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Wakuu
Wananchi tumekubaliana lini Rais Samia kupita bila kupingwa?
Hivi huyu Mbunge anawazungumzia wananchi gani? Au anaongea kwa niaba ya vikao vyao vya kificho?
Tena aelewe, si kila anayeshangilia kwenye ukumbi wa chama ni sauti ya Watanzania wote. Kama ana ndoto za kufundisha historia ya...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, kimemfukuza uanachama kada wa chama hicho Mchungaji Godfrey Malisa kuanzia leo Februari 10, 2025 kwa tuhuma za kukiuka Katiba na maadili ya Chama hicho.
Hatua ya kufukuzwa kwa Malisa imeelezwa kuwa inatokana na kauli alizokuwa akizitoa kupinga...
Wakuu,
Kama mmeona sasa hivi upande wa CCM kila wakifanya mkutano kiongozi husika anapotishwa bila kupingwa kienyeji ama anaombewa kisayansi kupitishwa bila kupigwa!
Ilianza kwa Samia na Mwinyi, Diwani akataka Silaa apitishwa bila kupingwa, Rufiji nao wakampitisha Mchengerwa bila kupingwa na...
Wakuu,
Mwakilishi wa vyama rafiki vya CCM, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Bukombe ameanza kwa kuwakushuru CCM kuwaalika maana waliomba makusudi waalikwe kwenye mkutano huo:BearLaugh::BearLaugh: anasema eti amekuja kuona utekelezaji wa Irani ya CCM na mbunge ametende kweli kweli na kwamba hana...
Wakuu,
Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Ndugu zangu Watanzania,
Dalili zote zinaonyesha wazi kabisa Kuwa Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita bila kupingwa uchaguzi wa Hapo Mwakani.
Hii ni kwa kuwa inaonyesha vyama vya Upinzani hususani CHADEMA kukosa mgombea...
Kanuni ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu inasema kuwa hapatakuwa na mgombea kupita bila kupingwa na hivyo itabidi apigiwe kura ya hapana au ndiyo.
Leo nimemuona Tundu Lissu akiwafundisha wapiga kura wa Nyamongo - Tarime kuwa siku ya uchaguzi wampigie mwenyekiti zliyepita bila mpinzani...
Wanabodi,
Siku ya jana Steven Mutambi, Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara ya TAMISEMI alikuwa akizungumza kwenye mahojiano pale Crown FM na moja ya kauli ambayo alitoa ni kuwa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu, ule utaratibu wa mwaka 2020 kwamba wagombea watapita bila kupingwa...
Mwaka 2020 niligombea Ubunge Jimbo la MISUNGWI.Wakati NARUDISHA fomu 25/08/2020,Nilinusurika Kutwekwa ndani ya Majengo ya Halmashauri huku nikinyooshewa BASTORA mbele ya Mkurugenzi aitwaye MABUBA KISENA ili wanipore Fomu yangu ya Ubunge!!Mungu kawapiga UPOFU Wameanza kujitaja!
Maoni yangu...
Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba
Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree"
Source: EATV
CCM kuna Burudani sana 😂
====
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
"Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali” Dkt. Faustine Ndugulile.
Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
Mazee mpo? Naenda kwenye hoja.
Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi.
Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa serious kidogo. Haiwezekani Tanzania Kila jambo linafanywa kisanii sanii.
Democracy ni kuruhusu raia...
Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
Hali ilipofika kwa sasa wabunge wa bunge la ccm lililopita bila kupingwa mambo sio mambo.
Humo ndani ni vikumbo tu. Hakuna Mbunge ana mhehimu mwenzake.
Mawaziri nao wanawona wabunge kama ni hamna kitu. Wanawajibu wanavyojisikia.
Huku wananchi hawana habari kabisa na Bunge.
Yaani watu wako...
Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025.
Lilipotangazwa baraza tumejikutwa tunashangaa Hawa ndio waliomkwamisha mama? Wakati tunàshangaa tukaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.