Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa.
Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1
Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi walimpigia kura na kuhesabiwa kisha matokeo kutangazwa.
Lakini leo tume ya uchaguzi mgombea akibaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.