kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
  2. Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  3. Tabia ya kupokea viongozi na kuondoka kwa nini imekuwa kama sherehe na sio heshima za kiusalama kama ilivyo kwa nchi nyengine

    Ni mimi tu au ndio Sanaa bagamoyo.Kila kiongozi atakayefika tanzania hata kama mara kwa mara kila mda vikundi vya ngoma,matalumbeta na wakina mama sijui wanatoka wapi au ndio vikundi vya ikulu. Kwa nini tujifunzi kwa watu ambao nchi zao sio maskini wakitoa ishara ya heshima za kiusalama tu.
  4. Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award” ikiwa ni kielelezo cha matokeo makubwa ambayo yamepatikana katika uongozi wake kufuatia ripoti ya utafiti wa demografia na afya ya mwaka 2022 inayoonesha kupungua kwa vifo...
  5. B

    Tanzania Kinara wa Kupokea hela za msaada kutoka USAID Afrika nzima. Yasemekana tutaathirika sana

    Kisiwa chetu cha Amani chenye Rasilimali nyingi kinapokea misaada ya mabeberu na Mabepari takribani Milioni 512 Kila Mwaka. Imeelezwa. Gazeti la Euronews limetaja kuwa Tanzania itakuwa ni miongoni mwa nchi zitakazo athirika kutokana na Hatua ya Donald Trump na Elon Musk kusitisha misaada hiyo...
  6. Mwanaume hutakiwi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwenzako

    Inakuwaje wanajamvi. Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa. Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu. Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali. Kuna vitu vingine kwa...
  7. Kutoa na kupokea, ni moja ya sheria ya ulimwengu

    Kutoa na kupokea 👇👇 👉sheria ya ulimwengu. Hii ni moja ya sheria ya ulimwengu /universal laws. Muda wote ulimwengu unatoa Ulimwengu unatoa uhai , Ulimwengu unatoa Baraka Ulimwengu unatoa maumivu kwa watu na vitu. Ulimwengu unatoa fursa mbalimbali kwa watu . Ulimwengu unatoa maarifa nk...
  8. B

    Hivi jeshi wanaruhusu kupokea mtu mwenye miaka 29/30?

    Mambo yanakwendaje wadau kwa mtu ambae tiyari ni degree holder na ana passion ya kwenda jeshi ni umri gani wa juu wa mwisho jeshi Lina chukua recruit! Na kama huna cheti cha Jkt je mafunzo ya Jwtz? Unaweza ruhusiwa kujiunga?
  9. B

    Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika. Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena: Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa. Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!" Pia soma...
  10. Hivi utaratibu upoje wa kupokea parcel kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa

    Comment ziwe fupi fupi Uzi tayari
  11. Namtetea Mbowe, Chadema, Hakuna Ubaya Wowote, Mtu, Chama Kusaidiwa na Kupokea Fedha Zozote Toka Popote na Kwa Yeyote!. Sio Kila Pesa ni Rushwa!

    Wanabodi Merry Chritmas Mjadala wa tuhuma za rushwa unaovurumishwa na Tundu Lissu, umezidi kushika kasi, tuhuma zilianzia majukwaani, zikahamia mitandaoni sasa zinaendelea kule Club House, spaces na X- tweeter. Hivyo najitolea kumtetea Mbowe, Chadema, wengine wote wanaotuhumiwa kwa tuhuma za...
  12. Njia ya kupokea Upendo ni kuutoa kwanza.

    Bila kuanza kutoa huwezi kupokea, hii ni Kanuni ya asili ya ulimwengu aliyoweka muumbaji, hata walimu wa theolojia wanatufundisha kwamba upendo wa Mungu upo maximum and constant haupungi Wala hauongezeki. Hivyo unachotakiwa kuusogelea karibu ili uweze kuufaidi, na huko kuusogelea karibu ndio...
  13. L

    CCM Itavuna na kupokea Viongozi wengi Sana waandamizi na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika kwa uchaguzi wake Mapema Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani. pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo vuna na kupokea viongozi mbalimbali waandamizi pamoja na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika...
  14. Wakatisha Ticket za Treni TRC kwenda Moshi Arusha, Muache kutengeneza Mazingira ya kupokea Rushwa.

    Wakuu Kwema Hii nchi tunakoelekea Sasa hivi hali sio nzuri kwa watumishi wetu wa uma. Kila mtu Kwenye nafasi yake anafanya anachojisikia. Bora nchi iuzwe tugawane Nimefika kituo Cha Treni, kukata ticket kwenda Moshi safari ya ijumaa, ticket zimeanza kukatwa saa2 Cha Ajabu saa2 hiyo hiyo...
  15. Tigo (Yas) jana mmetoa hizo gb 2 kwa watumiaji, Je wafanyabiashara wote wenye Lipa namba zenu walioshindwa kupokea malipo mnawafidia vipi?

    Eti ndugu zanguni YAS? Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online? Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
  16. Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  17. EWURA yatoa wito na kutangaza kipindi cha kupokea mapingamizi wa waliopata leseni ya kufanya biashara ya mafuta Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetoa taarifa kwa umma kuhusu maombi ya vibali vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya biashara na shughuli mbalimbali katika sekta ya mafuta ya petroli. Taarifa hiyo ya EWURA imewataja waliiomba vibali vya ujenzi...
  18. Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  19. Vyombe vya habari vya Marekani na uchaguzi wao ni somo kwa vyombo vya Tanzania

    Siku nne zijazo wamarekani watapiga kura kuchagua rais na wawakilishi wao. Mwisho wa uchaguzi ni matokeo na namna yatakavyopokelewa na jamii. Vyombo vya habari vya Marekani vimeanza kuandika kwa namna ya kuwapa jamii yao ya mwenendo wa uchaguzi katika hatua zake za mwisho na kutangazwa kwa...
  20. N

    Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

    Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA. jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi, aaah dola 100. Sasa kabla sijaenda kuchukua kifaa changu nimefanya mawasiliano na mtoa huduma wa POSTA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…