kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kwanini jamii za kiislamu wanapenda sana kupokea kuliko kutoa? Hawaoni kama wanaharibu utu wao?

    Jamii za kiislamu wanapenda misaada sana as if they are always unable bodied. Ukienda Tabora, Ujiji, Zanzibar nk hata huduma za jamii ni duni hata kujenga misikiti tu hawawezi mpaka ajitokeze tajiri mmoja awajengee. Ukienda jamii hizo utakuta maji ya visima ndo yamejaa halafu visima vyenyewe ni...
  2. C

    Tumejiaandaje kupokea wakimbizi toka Kenya?

    1. Yanayoendelea Kenya mmeyasikia/kuyaona kwenye vyombo vya habari. Kimbilio lao Kuu ni Tanzania. Tofauti na Majirani wengine kwao ni Njaa (Ethiopia, Uganda), vita (Somalia, Sudan). 2. Maandamano mapya yametangazwa huko. Na kiukweli naona balaa zito linawasubiri. Tumejipangaje majirani?
  3. VINICIOUS JR

    KUNA DEMU KALA VITU VYANGU HAJIBU SMS WALA KUPOKEA SIMU

    Wakuu bila kupoteza mda naomben maoni yenu hela za muhun haziliwi bure *****.
  4. Stephano Mgendanyi

    Manyara Tayari Kupokea Wanafunzi Kutoka Pande Zote za Nchi

    MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI Nimewaelekeza viongozi husika kuzingatia utoaji wa huduma katika sekta hii ya elimu kwa kuzingatia ubora, maadili, taratibu, miongozo na sheria hasa katika shule hii mpya ya wasichana ya Mkoa Manyara. "wazazi wote ambao watoto wenu...
  5. KnucleBreaker

    Inawezekana kupokea gari bandarini na kusajili kwa niaba ya mtu mwingine?

    Habari wakuu, Nipo nje ya nchi, nataka niagize gari kutoka japan, kisha nimtume rafiki yangu akanipokelee bandarini ikifika pia anisajilie kwa TIN number yangu. Tutatumia agent kufanya clearance ila malipo nitafanya mimi. Je, kwenye cosignee details wakati wa kununua kwenye website najaza...
  6. Shujaa Mwendazake

    Klabu ya Simba imeshakana kupokea 20B za Mo. Yeye kuendelea kukaa kimya ni kudhihirisha ulaghai wake

    Tuokoe Muda wakuu. Wajumbe wa Simba upande wa wanachama katika Bodi wameshakana klabu kupokea 20B kutoka kwa anayedaiwa ni mwekezaji aliyenunua 20B. Ikumbukwe hawa wajumbe ndo wawakilishi wa klabu katika bodi ikisemekana wanamiliki ile 51% Kwa lugha nyepesi ninkuwa Simba imeshamkana Mo Dewji...
  7. babajeska

    PSSSF Dodoma mama yangu akifa kwa uzembe wa staff wenu hakika jiandaeni kupokea maiti ofisini

    Mimi ni mwanachacha wa mfuko wa psssf namba ya uanachama 110---652 ambaye nilipoteza ajira tangu may 2023, mwaka huu mwezi wa kwanza mama yangu alipata changamoto ya maradhi ya moyo baada ya nyumba yetu kudondoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha ilipelekea akapooza, kwakuwa mimi ni kijana...
  8. greater than

    Tanzania kupokea mkopo wa dollar million 150

    Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar... Kuanzia tarehe 17 May 2024,mkopo utakuwa tayari ushaanza kupokelewa. Lucas...
  9. Sir John Roberts

    Israel yalalamika Hezbollah kupokea Mitambo ya ulinzi wa Anga (Air defense) kutoka Iran

    Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho...
  10. BARD AI

    Makamu wa Rais wa Malawi afutiwa kesi ya kupokea Rushwa ya upendeleo wa Tenda za Serikali

    Mahakama ya Malawi imefuta mashtaka ya rushwa dhidi ya Makamu wa Rais Saulos Chilima baada ya mwendesha mashtaka wa serikali kuwasilisha notisi ya kusitisha kesi hiyo. Hakuna sababu zilizotolewa kwa uamuzi huo. Dkt Chilima alikamatwa Novemba 2022 kwa madai kwamba alikubali pesa kwa ajili ya...
  11. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira

    Serikali Kupitia (TAFORI) Ipo Tayari Kupokea Ushauri wa Tafiti za Miti ya Mikaratusi Ili Kupunguza Athari za Mazingira "Kuna zaidi ya Species 500 za Miti ya Mikaratusi Duniani, Tanzania kupitia Taasisi ya Utafiti Misitu Nchini (TAFORI) imeruhusu aina 25 za Miti ya Mkaratusi ili kupata fursa...
  12. Fund man

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Poleni Kwa majukumu wadau Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi? Nawasilisha
  13. Genius Man

    Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  14. Ojuolegbha

    Kikao cha kupokea ripoti ya maafa ya mafuriko

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Mb) wakati wa kikao maalum kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kikao hicho kiliwasilisha ripoti...
  15. G

    Kwa mparaganyiko huu wa ndoa, sitaki tena kusikia wala kupokea kadi ya mchango wa harusi tena

    Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao?? Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya. Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda...
  16. Mcheza Piano

    Nimepandishwa cheo hapa JF Mshahara wangu utakuwaje?

    Kipindi najiunga JF nilianza na cheo cha member, hata mwisho wa mwezi haujafika tayari wamenipromote kuwa Senior Member. Je ifikapo mwisho wa mwezi ntapata mshahara wa cheo cha awali au cheo kipya? Je, madaraja ya mishahara yakoje?
  17. Lady Whistledown

    Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  18. Lady Whistledown

    Njombe: Mtendaji wa Kijiji ashtakiwa kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 200,000

    Mery James Numbi, ameshtakiwa kwa kosa la kuomba na kupokea Rushwa kinyume na Kifungu cha 15(2) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (cap 329 Re 2022) Mshtakiwa akiwa Mtendaji wa Kijiji cha Lupembe Wilayani Njombe aliomba na kupokea rushwa ya Tsh. 200,000 kutoka kwa Irine Justine ili...
  19. Ritz

    Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema kwamba walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa

    Wanaukumbi. MPYA: 🇷🇺🇺🇦 Washukiwa wa shambulio la kigaidi la "Crocus" wanasema walikuwa wakisafiri kwenda Kiev kupokea zawadi waliyoahidiwa - RIA Washtakiwa katika kesi ya shambulio la kigaidi huko Crocus walisema wakati wa mahojiano kwamba baada ya shambulio hilo walikuwa wakielekea Kiev kwa...
  20. Miss Zomboko

    Kiteto: Mwenyekiti wa Mtaa Jela Miaka 4 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 60,000

    Mahakama ya Wilaya Kiteto imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka minne au kulipa faini ya shilingi 1,000,000/= kwa makosa ya kuomba na kupokea hongo kiasi cha...
Back
Top Bottom