kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hili la Yanga kupokea Sh.1,300 kati ya Sh.35,000 ya jezi, linatia uchungu sana

    Huu ni unyonyaji
  2. Tazama shangwe la Wakazi wa Handeni baada ya kupokea wageni

    Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza Mnada wa Nderema kwamba utakuwa ni moja ya mnada kubwa Afrika Mashariki. Tayari Serikali imeanza...
  3. M

    Ukraine ilianza kupokea misaada ya kijeshi na kiuchumi toka 2014, lakini mpaka leo kilio chake ni kilekile cha kuomba silaha. Hii imekaaje?

    Agenda ya nchi za Magharibi kuidhoofisha urusi kwa kuitumia ukraine hasa ilianza tangu mwaka 2014 baada ya kumpindua Rais aliyekuwa wa mlengo wa Urusi. Tangu wakati huo nchi za Magharibi zimekuwa zikiipa Ukraine silaha na mafunzo ya kijeshi ili hatimaye ukraine itiwe kiburi kukataa makubaliano...
  4. Tusipinge Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za kigeni bali tuboreshe ili kutengeneza utalii wa michezo ( Sport tourism)

    ➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo ➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
  5. Dodoma: Nangasu Werema, Bajeti ya Wizara ya Utalii 2022/2023, ni bajeti bora. Tujiandae kupokea Watalii

    Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia. Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
  6. Pablo atimuliwa Simba SC, mwenyewe agoma kupokea barua

    VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo. Simba imepoteza mataji yake yote mawili la Ligi Kuu Bara ambalo walilitwaa kwa mara nne mfululizo pamoja na taji la Kombe la Shirikisho la Azam...
  7. Kenya 2022 Rais Kenyatta: Kila Mgombea ajiandae kupokea matokeo ya aina yoyote

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewataka wanasiasa ambao wanagombea nafasi ya Urais katika uchaguzi wa Agosti 2022 kuwa tayari kupokea matokeo ya aina yoyote hata kama ni kushindwa. Kenyatta ambaye anamuunga mkono mgombea wa Azimio La Umoja, amesema hawatakiwi kuhawamisha wapiga kura wao kufanya...
  8. Je, mtu unaweza kupokea Ekaristi Takatifu bila kula kile kipande cha ngano?

    Mantiki ya swali langu inalengo la kufahamu, je, Ekaristi ni kitu ‘Spiritual’ au ni kitu ‘physical’? Meaning, mtu anaweza kupokea Ekaristi bila kula kile kioande cha mkate? Spiritually tu kwa kuamini?
  9. L

    Mlinda amani wa Zimbabwe kupokea Tuzo ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya UM kwa mwaka 2021

    Idara ya Operesheni za Amani imesema mlinda amani wa Zimbabwe atapokea Tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Mtetezi wa Jinsia wa Kijeshi ya mwaka 2021. Mwangalizi wa Kijeshi Meja Winnet Zharare mwenye umri wa miaka 39, alifanyakazi Bentiu, Sudan Kusini hadi mwaka 2022 na atapokea tuzo hiyo kutoka kwa...
  10. Msaada: Utaratibu wa kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi

    Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
  11. Business Insider Africa: Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa kupokea watalii wengi Afrika 2021

    Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang! Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa! Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
  12. N

    Kamati ya mapokezi yajipanga kupokea VAR

    Ni katika muendelezo wa kukirimu wageni, ile kamati nguli ya mapokezi inajipanga kupokea VAR na wasimamizi wa VAR watakapowasili nchini kwa mechi kati ya mabingwa watarajiwa wa confederation cup mwaka huu SIMBA SC. na pirates Hatua hiyo ni maandalizi ya kuwapokea orlando pirates au wanaume...
  13. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  14. Britam imeuza 6.7% ya hisa inayomiliki ya Equity bank kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kupokea ksh 13 billion.

    Ukiona World Bank wananunua hisa za Equity bank ujuwe kwamba wao wameona Equity bank ina future nzuri. Britam insurance ilinunua shares za Equity zamani sana wakati bado Equity ilikuwa kampuni ndogo. Britam imeuza 6.7% ya shares ya Equity kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kulipwa ksh 13...
  15. Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  16. I

    Mashabiki zangu wa Chelsea tupo tiari kupokea anguko letu kwa mwenendo huu?

    Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea. Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko kubwa sana. Hakuna hela inayoingia kwenye klabu kwa sasa kwaio kutokana na matumizi makubwa ya klabu...
  17. Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Habari zenu wakuu, Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. Napokea maoni, ushauri na...
  18. Presha ya Urusi, Bilionea Abramovich kupokea ofa tatu wiki hii za kuiuza Chelsea

    Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii. Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
  19. Ghana yaanza kupokea wanafunzi wao waliokimbia Ukraine

    Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi. Serikali ya Ghana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada za kuwatoa raia wake Ukraine ambapo bado hali ya...
  20. Je, upo tayari kupima VVU na mchumba, mchepuko au mkeo na kupokea majibu pamoja?

    Habarini wadau, Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau? Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…