kupokea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chendembe

    Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo. Haipendezi...
  2. K

    Rais Samia, ili kupambana na Rushwa weka misingi ya Taifa anayethibitika kupokea rushwa anafukuzwa urgently

    Lipo tatizo kubwa la rushwa Kila sekta. Kisingizio kikubwa Watumishi wa umma ni mishahara midogo. Nakishauri Mhe. Rais weka kifungu cha sheria kinachomwajibisha mpokea Rushwa akiwa mtumishi wa Umma na pale anapofukizwa kazi pengo lake lizibweKwkwa haraka arudi uraiani akaishi bila mshahara...
  3. K

    Katibu wa Bunge alilikiri kupokea kopi ya barua ya kujiuzulu Ndugai aliyopeleka CCM

    Hii barua ndiyo tuliyopewa wananchi.
  4. Frumence M Kyauke

    Je, Diamond Platnumz kapata jiko? Akiri kupokea zawadi ya thamani kutoka kwa mkewe

    Je, Simba kapata windo lingine? Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo 'Unachezaje' yamezua mjadala mkubwa mitandaoni iwapo mwanamuziki huyo amenyakua kipenzi kipya. Katika video...
  5. B

    Kesi ya Mbowe: Faraja iliyoje kupokea ugeni Mzito

    Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani: Kwa hakika mtenda mema hajifichi. Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu. Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu. Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano...
  6. Kasomi

    WhatsApp Unafanya Majaribio Ya Mfumo Wa Kutuma Na Kupokea Crypto

    Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1. WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
  7. Job Richard

    Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  8. Iziwari

    Kwa wale WordPress site developers: Plugin inayoweza kutoa na kupokea pesa Mpesa/AirtelMoney Imekamilika

    Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya malipo mtandaoni. Jibu ni kwamba yupo na anaitwa Abdul Bunju. Kwa historia fupi. Abdul Bunju ni...
  9. Ze Bulldozer

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

    === Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande...
  10. Strictly Syrup

    Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

    Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku. Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo. Nimetumia sendwave...
  11. C

    FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  12. CM 1774858

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari nchi nzima

    Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania. " Hakuna kama Samaia " Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF)...
  13. J

    SHAKA: Tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi CCM

    Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021. Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Halmashauri...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jinsi mizimu ya ukoo ilivyonifanyisha Mambo ya kustaabisha baada ya kukataa kupokea mikoba ya waungwana.

    Mwaka 2005 nikiwa nimezama kwenye imani kali ya ulokole, hapo nikiwa kiongozi wa Ukwata na pia kiongozi wa kiroho kwa vijana wa mtaani kwetu (nilikuwa napita majumbani, naongea na wazee waniruhusu niwafundishe maadili mema watoto wao ikiwemo kazi za nyumbani na za kitaaluma). Kutokana na tabia...
  15. Dr. Zaganza

    Anahitajika Secretary Wa kupiga na kupokea simu

    Habari wakuu Nahitaji secretary, jinsia yoyote ,umri wowote, mwenye uzoefu wa kupigia simu wateja, kupanga mikutano, kukumbusha madeni n.k. Anaweza fanyia kazi online, ila akiwa Dar au Kibaha ni bora zaidi. Piga 0713-039 875
  16. MK254

    Akili kubwa: Ubunifu wa kijana Mkenya wasababisha apokee hela ndefu zaidi ya balaa

    Yaani tu basi............. A Kenyan, on Wednesday, September 8, scooped the most coveted continental award bagging Ksh165 million at the African Green Revolution (AGR) summit. Kenyan entrepreneur, Jehiel Oliver, won the inaugural Agriculture, Youth and Technology (AYuTe) Africa Challenge...
  17. YEHODAYA

    Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka Waweza uza chochote mitandaoni Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
  18. YoungD

    Mhe. Samia Suluhu Hassan awakaribisha mabalozi wapya na kupokea Hati zao............ #wote wanaishi Kenya!!

    Yaani tanzagiza huwa full vituko. hivi mbona hawa mabalozi wote hawawezi ishi hapo fishing village?? sasa ina maana baada ya kuwasilisha Hati zao, walirudi moja kwa moja hadi Nairobi. cc MK254 Nairoberry KENPAULITE Tony254 Kafrican
  19. L

    #COVID19 Arusha: Wananchi wajitokeza kwa wingi kupokea chanjo ya Corona

    Zoezi la kuzindua chanjo kwa mkoa wa Arusha hatimaye limefanyika na wananchi kadhaa kuhudhuria tukio hilo lililofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa mkoa ikiwepo kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pamoja na...
Back
Top Bottom