kupotea kwa mdude

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Kupotea kwa Mdude Tulitarajia maafisa wawili waliotajwa, kuwafuatiliwa, kuwajua lakini jitihada hazijazaa matunda

    "Jitihada zote ambazo zimeongozwa na viongozi wa kanda ya Nyasa, viongozi wa mikoa na wilaya ambazo zinalilia na kuonesha thamani ya maisha ya Mdude, na tumekuwa na Mazungumzo pia kupitia viongozi wa kanda na mikoa, mazungumzo na RPC, RC, RCO, askari kutoka makao makuu ya jeshi la polisi DOdoma...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Mdude: Tuhuma za kuhusika kwa Askari katika kupotea kwa Nyagali, Uchunguzi mkali waanza, kikosi chatumwa, kutoka mtandaoni

    1. Huyu askari most likely hakuwa na ugomvi binafsi na Mdude, , alikuwa anafanya aliyotumwa na wakubwa. Sema ilibidi ajiongeze "asimuue" hata kama alipata amri hiyo! 2. Hizi ni drama tu hakuna lolote la maana litakalofabyika kumpata Mdude 3. Most likely by 1,000,000,000% he is dead... machozi...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi linachunguza tuhuma za kuhusika askari katika kupotea kwa Mdude Nyagali

    Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu tuhuma zilizotolewa na mwananchi mmoja ambaye jina lake linaendelea kufuatiliwa akiwatuhumu askari wawili kupitia mitandao ya kijamii kuwa walimfuata kumtaka afanye nao kazi ya kijajusi pamoja na kumuahidi kumpatia fedha. Kufuatia taarifa hiyo, Jeshi la...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martin Masese: Polisi wamefika nyumbani kwa Mdude kuchukua Sampuli ya damu ili waanze uchunguzi

    RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana. Pia soma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…