RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi