PreGE2025 Martin Masese: Polisi wamefika nyumbani kwa Mdude kuchukua Sampuli ya damu ili waanze uchunguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.

View attachment 3322597

Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi

Unaweza sikia majibu ya mkemia mkuu yakesema hiyo damu ni ya Mbuzi siyo ya binadamu
 
wewe unaweza kupigana na watu wenye silaha wewe ukiwa mikono mitupu? Neema ya MUNGU ituokoe tu kwa hapa tulipofikia

In order to stop a bad man with a gun, it requires a good guy with a gun.

Tubadilishe Sheria zetu ili kulifanya suala la umiliki wa silaha ya moto (bunduki) kuwa ni Haki ya kikatiba kwa kila Mwananchi mwenye akili timamu kama ilivyo kule nchini Marekani.
 
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.

View attachment 3322597

Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Antenna zetu za Mbeya, Songwe na Rukwa hazisomi kuhusu ni wapi alikopelekwa Mdude.

Mitandao itakuwa salama dhidi ya matusi ya Mdude
 
Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
KIONGOZI UWE NA CHEMBE BASI YA UTU,HURUMA NA UBINADAMU KWA NINI FEDHA YA DAMU KUTOKA CCM INAKUONDOLEA UTU.Uhakika mdude amechukuliwa na POLISI NA HATA AKIUAWA NI POLISI WANAHUSIKA
 
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.

View attachment 3322597

Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
 
Attachments

  • FB_IMG_1746181789882.jpg
    FB_IMG_1746181789882.jpg
    44.7 KB · Views: 12
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.

View attachment 3322597

Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Huyu jamaa wamemtafuta siku nyingi sana , mwaka huu tutaimba kama ya Ben Saa Nane
 
Wal
Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Waliopiga wafuasi wa cdm ni polisi au wahuni wanaojifanya?!! Alaf polisi imeshindwa kudhibiti hao wahuni?
 
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.

View attachment 3322597

Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
The female Agusto Pinocchet
 
Sasa ndio wamefika polisi tz, kufanya uchunguzi wa kina, wapo wahuni na majambazi hupitia njia ya mfanano na Polisi,
Nb, Tuwe makini sana.
Hakuna mjinga wa kukubaliana na hoja yako mfu, hao polisi wangekuwa watu na wana utu wangekuwa wamesha kamata walio husika na matukio yote ya mauaji yaliyo fanyika nchi hii kwenye mikono yao.
 
RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.

View attachment 3322597

Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi
Moja kati ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania, namshukuru Mungu niliacha kazi kwa hiari yangu
 
Back
Top Bottom