Izato
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 5,441
- 11,669
Hapo ni lazima tutegemee kabisa ya kuwa itakuja taarifa mbaya inayo muhusu kamanda. Hii ni uthibotisho tosha ya kwamba anapitia katika bonde la uvuli wa mauti 😤😤😤😤😤RCO-Mbeya na polisi wamefika nyumbani kwa Mdude_Nyagali kuchukua sampuli ya damu iliyomwagika na kufanya uchunguzi. Moyo wangu umejaa hofu. Sioni mwisho mzuri katika habari hii. Hali ilivyo hadi hapo watasema wao hawahusiki kumvamia na kumteka Mdude. Hii habari inaumiza sana.
View attachment 3322597
Pia soma Pre GE2025 - Mdude Nyagali adaiwa kukamatwa na kupigwa na watu waliojitambulisha Polisi