Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,999
- 23,540
Na mimi nimejiuliza. Wanakwenda kupima nini na hiyo sampuli ya damu hata wakiipata matokeo yake ni ili wajue kitu gani?Sampuli ya damu wanaenda kupima nini? Mauaji ya Ally Kibao mpaka leo uchunguzi unaendelea