Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Shida ya wapigania haki kote duniani iko sehemu moja tu! Ukimuua moja, kesho wanazaliwa wapigania haki wengine 100.
Kwa hiyo njia pekee kwa watawala wenye hulka ya kunyamazisha watu wanao wakosoa kwa kuwaua/kuwapoteza, ni moja tu! Wakubaliane na ukweli. Wananchi wakihitaji mabadiliko, wapewe haki yao ya msingi. Na siyo kuwatesa/kuwaua.