kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Nimeunda File Server kwa Shilingi Laki 2, Njia Rahisi ya Kuhifadhi na Kuhamisha Mafaili

    1. Nimepata hard disk 6 TB kwa shilingi 150,000 used (used ila disc health safi ) 2. Nimenunua cpu used kwa elfu 50 ikiwa na hard disk ya GB 80 (Hp Optiplex SFF) Kwanini ninunua cpu wakati ningeweza kununua waya wa usb wa hard disk ? Hard disk iliyounganishwa ndani kwa cable zake maalum za...
  2. Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

    Habari Mbaya sana. Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani. Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje. Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara. Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe. Apumzike kwa amani.
  3. Kupotea Kwa Thamani ya Familia au Ndoa

    Siku zinavyozidi kusogea ndivyo, Thamani ya Ndoa au Familia ndivyo inavyozidi kupotea. Kuna mambo Mengi yanayopoteza Thamani ya Familia au Ndoa. 1. Tamaa Kumekua na Tamaa kubwa sana ususani katika jamii yetu mtu anapoamua kuanzisha familia au kuingia katika Ndoa anaingia kimkakati, Tayari...
  4. Kusubiria matokeo ya Mechi ya Mume Mtemi na Hawara Mlaini wakati unajua Hawara Mlaini atagawa tu Uroda ni kupoteza muda

    Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
  5. Hakuna kitu kinaitwa kupoteza fedha, ukitumia kwa namna yoyote ile hiyo fedha haijapotea .

    Waswahili wakitumia fedha na baadaye kujiona wahitaji wanahesabu yale matumizi ni bure ni kama wamepoteza fedha. Iwe ulihonga, ulinunua pombe na kitimoto, ulinunua midoli, gari, nyumba, ulifungua duka likafail hiyo pesa hujapoteza bali ulitumia ila hali ya umaskini ndio inakufanya uhesabu...
  6. Mkutano uliofanyika Dar es salaam tarehe 08.02.2025 na kutoa maazimio ya juu ya mgogoro wa DRC na M23 ni bure na kupoteza muda pamoja na fedha

    Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede tu ambao hauna mshindi. Rais mmoja alipaswa kusema niko tayari kuingiza jeshi langu Kivu au Goma kama...
  7. Je, App ya Biashara ya Vipuri Kama BeForward kwa Soko la Tanzania Itafanikiwa au ni Kupoteza Muda?

    Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii itawawezesha wafanyabiashara wa vipuri kuorodhesha bidhaa zao, na wanunuzi wataweza kutafuta vipuri kulingana...
  8. Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  9. Rais Samia: Wafanyabiashara mlichoma moto Soko Kariakoo sababu nilizisema changamoto za uongozi uliokuwepo

    Wakuu, Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule? ====== Moja ya mambo aliyosema mwenyekiti wa kariakoo katika risala yake ni kuhusu ziara ya Samia Kariakoo, ambako alisema Rais Samia...
  10. Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu(Dementia) ni ugonjwa adimu Tanzania?

    Huu ugongwa wa kupoteza kumbukumbu(dementia) ni common sana kwa watu hasa wazee kuugua huko Marekani na Ulaya. Kwa hapa bongo ni nadra sana kukutana na mtu anayegua ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Maisha yangu yote nimewahi kumuona mzee mmoja tu akiugua huu ugonjwa, tena alikuwa...
  11. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  12. J

    Ninawezaje kuitolea mashitaka idara ya uhamiaji kwa kusababisha kupoteza ufadhiri wangu?

    Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
  13. Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  14. Naelekea kupoteza mafao yangu, ushauri wenu Wanasheria

    Habari ndugu zangu, Niende Moja kwa moja kwenye tatizo langu. 1. Mwaka 2017-2019 niliajiriwa sehemu nikawa nalipwa ujira wangu, nilikuja kuachana nao na kujiunga na taasisi nyingine, Hawa maboss wangu waliniahidi kiasi Fulani Cha fedha wanapeleka NSSF lakini hawakuwa wakifanya hivyo, na kibaya...
  15. J

    Vijana msije mkajitoa mpaka kupoteza maisha yenu kupigania vyama maslahi hivi

    Siku zote huwa nawaambia vijana fanyeni siasa, fanyeni ushabiki wa kisiasa, wapendeni viongozi wa kisiasa lakini kamwe msije kujitoa mhanga kiasi kwamba mnahatarisha maisha yenu kuwapigania wanasiasa au vyama vyao. Wanasiasa wote unaowajua wapo pale kwaajili ya maslahi yao na familia zao kwanza...
  16. D

    Kosa la Mbowe ni kumshauri Wenje kupambana na Lissu, kwa hasira Lissu akampandia juu. Uamuzi ambao nauona sahihi kwake hata akishindwa

    Ulitafakari kwa makini baadhi ya sentwsi na sababu za Lissu kuamua kuachana na umakamu hoja ya msingi kaificha. Lakini ukweli uliojificha ni hasira zake dhidi analoamini lina kiburi cha fedha za Abdul na mama yake kutaka kumpora cheo ndani ya chama. Lissu aliamini kabisa akishindana na Wenje...
  17. Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  18. Wanaosombaza habari za watu maarufu kubadili dini na kusilimu huwa wanalenga nini hasa?

    Si vyema kuwa na mahaba na dini yako mpaka unapitiliza mipaka ya utimamu wa kawaida wa akili(common sense) na kugeuka kituko. Naona mitandaoni baadhi ya watu wanakazana kusambaza taarifa ya Kim Kiduku wa Korea Kusini kusilimu na kuwa muislamu, kwanza kwa kiasi kikubwa taarifa hii inaonekana ni...
  19. Z

    Uzee huwa unaambatana na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza busara, kumbukumbu na kurudi kwenye hali ya utoto

    Kama kuna kipindi tunatakiwa kuwa karibu na wazee wetu ni kipindi wanapo kuwa na umri mkubwa. Wazee wetu wanapo kuwa na umri mkubwa huwa wanakumbwa na changamoto lukuki, ikiwemo kupoteza maarifa na busara, akili zao hurudi nyuma na kuwa za kitoto. Nashauri vijana wenzangu ambao wazee wao bado...
  20. Shule ya Sekonari ACT Bunda Girls inavyopoteza muelekeo wake

    Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara. Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi yenyewe ya "u private". Kwa kifupi inazidiwa kiwango cha Taaluma na shule nyingi tu kata zilizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…