Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga.
Na Mwandishi Wetu
Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma.
Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea...
Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia.
Matumizi ya Mashine ya masikio:
Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
Naona gazeti la Mwananchi wanasema Hamza alipata msongo wa mawazo baada ya kuwekeza milioni 400 Mbeya na kutofika malengo aliyokusudia, jana pia imesambaa video ikionyesha Hamza lengo lilikuwa ugaidi.
Polisi wangejitokeza basi kutupa muelekeo wa tukio, naamini sababu ya Hamza kufanya...
Mdau mkubwa wa maendeleo wa Tanzania Denmark anasema kuwa wanataka kuhakikisha watu wao wako salama kwenye Dunia inayozidi kupoteza muelekeo wa kidemokrasia na HAKI za Binadamu.
Wameyasema haya baada ya kutoa tangazo kuwa watafunga balozi zao Tanzania.
Ikumbukwe kuwa Denmark imekuwa mdau...
Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi...
Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki
Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia.
Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi.
Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho...
IGP Sirro ni ukweli Watanzania wengi hawamuamini kuanzia kwa kutekwa kwa Mo, kupigwa risasi kwa Lissu na matukio mengine ambayo Polisi mpaka leo hawana jibu.
Kuongeza imani kwa Watanzania ni wakati muafaka wa kumpumzisha IGP Sirro au umpe ubalozi. Kwa sasa Sirro anacheza kwenye rope na si...
Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.
Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo halafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia...
Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo kukosa hata 30% ya lengo. Ambapo serikali haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu.
Cyril
IKUNGI-SINGIDA,
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida ndugu Jery Muro ametos kauli kali na vitisho kwa wananchi wa wilaya ya hiyo kua yeyote atakayefanya siasa au kudai katiba mpya katika eneo lake atakula kichwa chake na kumpoteza mchana kweupe, ameongeza kua tumezoea kazi hiyo inafanywa na...
Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi.
Vifaa.
1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles
2.Gloves
3.Mask
4.Viatu vya kufinika miguu.
5.Brash ngumu kubwa na
ndogo.
NAMNA YA KUSAFISHA
Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
Hello Ladies & gentlemen, hope all is well with you.
Bila kupoteza muda naombeni kujua ni kwa nini mtu hupoteza upendo na hisia kwa haraka sana mara tu baada ya kufanya mapenzi.
Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu sana kwamba huwa napenda sana kwa muda mfupi na kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.