Kwa ufupi ni kuwa hii kesi inaenda kuivua nguo serikali ya Samia Suluhu, inenda kuwavua nguo kina DPP, IGP na DCI.
Kwanini Mbowe hana cha kupoteza katika hii kesi
1. Kama Mbowe atafutiwa kesi na DPP basi jamaa(Mbowe) atakuwa amepata popularity ya kutosha ndani na nje ya nchi,pili itampa kiburi...