Katika msimu wa joto uliopita, mashindano ya mpira wa kikapu ya vijijini katika wilaya ya Taijiang mkoani Guizhou, China yalivutia macho sana. Ingawa hakuna nyota na ufadhili wa kibiashara, mashindano hayo yaliyofanyika milimani si kama tu yamewashangza watazamaji wenyeji, bali pia yamefuatiliwa...