Ni wazi kwamba ndege ya ATCL inayokwenda Chato huwa inaenda tupu, bila abiria
Abiria pekee ni mama Janeth Magufuli na watoto wake au Kalemani.
Nashauri ruti hii ifutwe kwa maslahi ya taifa.
Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko.
Saudi Arabia itapunguza Pipa 500,000, Iraq 211,000, Umoja wa Falme za Kiarabu 144,000, Kuwait 128,000, Oman 40,000...
Serikali ya Tanzania inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya nje kwa asilimia 30.8. Kwa Mwaka 2023/24 Serikali inatarajia kupunguza kukopa mikopo ya madeni ya ndani kwa asilimia 23.5
Serikali inafanya hivyo kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani kwa asilimia...
Hii ni hatari sana maisha yamebaka vibaya na ninachosshuhudia kwenye group la mshkaji anayetarajia kuoa hivi karibuni huwez aamini.
Wadau wanachanga kwa kwenda mbele. Yaani ni mwendo wa kupunguza na kutoa ahadi mm ni kama siamini.
Hapa ndio pale ninapoamini watu tunatofautiana. Watu wanakazi...
Habari wakuu,
Nipo ofisini katika kampuni fulani. Ninapitia wakati mgumu sana kwani meza yangu ipo angle mbaya sana. Boss wangu ambaye ni CEO wa kampuni anaona kila kitu nachofanya kwenye PC yangu.
Hii PC inaonesha clear sana kiasi kwamba hata mtu aliye umbali flani ananizoom vizuri...
Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani (WHO) iliyotoka leo Machi 9, 2023 kuhusu Udhibiti wa Matumizi ya #Chumvi hasa ya kuongeza wakati wa Kula (Chumvi ya Mezani), imeonesha dunia iko chini ya malengo yaliyowekwa hadi kufikia mwaka 2025 kwa 30%.
#WHO imesema kuwa ni 5% tu ya Nchi Wanachama wa...
Kwako Mhe.Rais wa JMT,
Nakusalimu kwa jina la JMT...kazi iendelee.
Awali ya yote ninapenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia afya njema na tumeweza kufika muda na wakati kwa neema zake Mwenyezi Mungu.
Pia, nichukue nafasi hii kukupongeza kwa utendaji kazi uliotukuka na...
Bila jitihada za serikali kuweka msisitizo wa kuzuia au kupunguza adhabu ya viboko mashuleni; kuna uwezekano mkubwa wa kuzalisha taifa lenye walemavu wengi!
Binafsi niliwahi kuchapwa enzi hizo nikiwa sekondari kwa kosa la jumla (darasa zima) na walimu karibu 10 kwa wakati mmoja. Nilipata...
Urusi imesema itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha asilimia tano kuanzia mwezi ujao ikiwa ni kukabliana na hatua ya mataifa ya magharibi ya kuweka ukomo wa bei.
Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Alexander Novak amesema Urusi itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha...
Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.
Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje.
Baadhi ya sera kuu ni pamoja na:
Marufuku ya uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa nchini: Mwaka 2020, Rais Magufuli alipiga marufuku uingizaji wa bidhaa...
Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya.
Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya uwekezaji wa zaisi ya Tsh. Trilioni 23 katika utengenezaji wa Akili Bandia kupitia kampuni ya...
Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu.
Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za...
Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki.
Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
Kampuni ya Amazon.com Inc (AMZN.O) inatarajia kupunguza zaidia ya wafanyakazi 18,000 kama sehemu ya upunguzaji wa wafanyikazi kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu Andy Jassy
Maamuzi hayo yanatarajiwa kutangazwa kwa wafanyakazi Januari 18, 2023 ambapo yanatajwa kuwa yataathiri kwa kiasi kikubwa biashara...
Haya hapa ni madhila barabarani yakiwahusisha wale vinara wa kutuasa kuhusiana na ajali barabarani:
Miili ya wanandoa wapya kuzikwa leo Mbeya
Kwanini kama nia ni njema hatujifunzi kutoka kwa wengine?
Speed Cameras Introduced on Nairobi Expressway
Kwanini kuwa na magari barabarani yenye...
Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi.
Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
"Wall and underground concealed conduit wiring"
Habari wakuu,
Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta.
Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu.
Mara nyingi upitishaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.