Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi.
Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
Binadamu yeyote anahitaji kuwa na furaha, pamoja na kuzungukwa na watu mbali mbali ambao watamfanya achangamke na kuondoa au kupunguza tatizo la msongo wa mawazo.
Hii imekuwa ikitokea kwa baadhi ya familia, baada ya kukuza watoto wao na kwenda kujitegemea, na hatimaye kuwaacha wazazi wao wakiwa...
Binafsi ninaona Majimbo ya uchaguzi ni mengi mno hivyo ninaishauri Serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi kwa ushauri ufuatao:
Jumla ya Halmashauri zote katika nchi hii ni 184 basi kwa mantiki hiyo kila Halmashauri iwe na Wabunge wawili yaani Mwanaume moja na Mwananmke moja.
Majimbo ya sasa...
IJUWE AJENDA YA KUPUNGUZA IDADI YA WATU DUNIANI HADI IFIKAPO 2030 NA CHAPA YA 666
JPM alivyohamasisha watu kutotumia UZAZI WA MPANGO, KUTOTUMIA CHANJO, KUHAMASISHA WATU WAZALIANE, ALIKUWA ANAENDA KINYUME NA AJENDA ZA FREEMASON.
AJENDA IJULIKANAYO KAMA, (21--2030), YA FREEMASONS KUTOKA MWAKA...
Wakuu Naomba mwenye uzoefu naomba anisaidie
Nimefungua ofisi ya biashara ya miamala ila napata changomoto watu wakitoa pesa kwa wingi float inajaa,
Changamoto inakuja namna ya kupunguza salio la kwenye machine ili kupata cash hasa kwa selcom ambapo tumejiunga na benki kadhaa. Tumefuatilia...
Baraza la serikali la China hivi karibuni limetangaza kuwa, China itasamehe ushuru wa asilimia 98 wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi sita za Afrika, zikiwemo Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Madagascar, Mali, na Mauritania, kuanzia Desemba mwaka huu. Hii ni moja ya hatua...
Benki ya Metro inayopitia changamoto kwa sasa ilisema Alhamisi tarehe 30/11/2023 kuwa inatarajia kupunguza idadi ya wafanyakazi kwa 20% kama juhudi sehemu ya juhudi za kokoa Pauni milioni 50 (Tsh. Bilioni 1.2~) kwa mwaka.
Tangazo hilo ambalo linaathiri takriban ajira 800, siku hiyo hiyo pia...
TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI)
TAREHE 25/11/2023
KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI AS MAKUTUPORA TABORA
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Wiki ladhaa nyuma kulikua na mchakato wa kupunguza wafanyakazi, mchakato huo ulifutwa baada ya sintofahamu ya namna waathirika wa...
habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN.
Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi.
Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
Namnukuu member wa Jf Glenn katika moja ya comment yake namnukuu
"Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda. Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe"
NOTE:
Ikumbukwe kuwa CCM jambo lao kuu kuliko yote ni kubaki kuwa Chama Bola chama Tawala iwe kwa namna yeyote Ile...
Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako.
Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu.
Usikubali mtu afahamu...
Habari wakuu,
Kama wanadamu tuna kasoro na mapungufu mengi ambayo katika hali ya kawaida ni kama tumeumbwa navyo yani huyo ndo wewe huwezi kumbadilisha.
Katika hali hii wengi wanapata shida kuishi na watu ata wenza wao wanajikuta wanakuwa kero kwa watu wanaowazunguka.
Wakati mwingine inatesa...
Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, CPA Jenipha Josephat Ntangeki ametoa ushauri huo wa Wosia wakati akitoa elimu kuhusu umuhimu wa jamii kuzingaia wosia alipokuwa akishiriki Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha kwenye Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, Jumanne Oktoba 24...
KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI
TAREHE 23/10/2023
KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu...
TAARIFA YA KUSUDIO LA KUPUNGUZA WAFANYAKAZI (BAADHI)
TAREHE 16/10/2023
KWA: VAPI MERKEZI INSAAT VE SANAYI AS TABORA MAKUTOPORA
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Baada ya kufikiria kwa uangalifu mwajiri wako YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVI A.S anafikiria kuanza michakato wa kupunguza...
12 October 2023
Marrakech, Morocco
Waziri wa nchi fedha na mipango wa Zanzibar Mh. Saada Mkuya Salum aikaribisha IDA
https://m.youtube.com/watch?v=dthlTxsLjFw
December 2023 Benki ya Dunia kupitia taasisi yake ya IDA International Development Association inayohusika kusaidia nchi masikini...
Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Rais ya Sera, Fedha na Marekebisho ya Kodi, imeeleza kuwa Kodi zilizowekwa katika maeneo mbalimbali zinaongeza mzigo mzito kwa Wananchi, hivyo hatua ya kuzipunguza itarahisisha mfumo wa Kodi na kupunguza maumivu.
Kamati imesema imefanya utafiti na kubaini...
Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.