Kama tunavofahamu Leo tunapiga kura, na zoezi limeshaanza tayari.
Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika,
Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja kupiga kura hawaoni majina yao,
Wanachosema ni kwamba majina yamerundikana na hayajapangwa Kwa herufi...