kurejesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANROADS inaendelea na kazi ya kurejesha mawasiliano Barabara ya Somanga

    Timu ya wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanaendelelea na kazi ya kurejesha mawasiliano ya barabara katika eneo la Somangafungu Mkoani Lindi kutokana na daraja hilo linalounganisha barabara kuu ya kutoka Dar es Salaam na Mikoa ya Pwani, Lindi na Mtwara kukatika na kusababisha...
  2. Ni Aibu Tabora kushindwa kurejesha taa za barabarani zaidi ya miezi sita sasa

    Yaaani kila nikipita Tabora kuna zile taa za barabarani hazipo (zimeibwa/zimeondolewa) ila hio sio tatizo. Tatizo ni kwa namna gani mamlaka husika wanashindwa kuzirejesha Kwa kipindi cha muda mrefu hivi?? Nimejiuliza maswali mengi Sana kila nikipita hapa, hizi ni Kodi zetu sote; inakuaje...
  3. Bashungwa Aagiza Timu ya Watalaam Kurejesha Miundombinu Lindi

    BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja...
  4. Rais wa Liberia aunda Kikosi cha Kudhibiti Rushwa na kurejesha Mali zilizoibwa Serikalini

    LIBERIA: Rais Joseph Boakai ametangaza kuunda Kikosi Kazi kitakachokuwa na jukumu la Kukabiliana na Vitendo vya Rushwa pamoja na kurejesha Mali za Serikali zilizoibwa kifisadi. Kupitia tangazo hilo, Rais Boakai ameagiza Kikosi hicho kumtafuta Afisa wa ngazi yoyote aliyehusika na Rushwa kutoka...
  5. Serikali ya DRC yataka kurejesha adhabu ya kifo kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ina lengo la kurejesha adhabu ya kifo, ambayo ilisitishwa miaka 20 iliyopita, kwa wanajeshi wanaopatikana na hatia ya uhaini dhidi ya waasi wa M23, kulingana na ripoti ya baraza la mawaziri. Hukumu za kifo hutolewa mara kwa mara na mahakama nchini...
  6. Iran yaanza kurejesha nyumbani makamanda wake walio nje maana wanasakwa na Israel kwa mbinu zote

    Yaani kila anayejulikana alipo anawahishwa kwa mabikira.... Iran's Revolutionary Guards have scaled back deployment of their senior officers in Syria due to a spate of deadly Israeli strikes and will rely more on allied Shi'ite militia to preserve their sway there, five sources familiar with...
  7. Katika Mahusiano nani anaweza kurejesha Mapenzi yanapopungua?

    Hili swali nimeamua kuwaletea Wadau humu Jukwaani, baada ya kujiuliza kwa muda Mrefu sana bila majibu. Je kwenye Mahusiano ya Nowdays , ,ni nani hasa anaweza kurejesha Mapenzi mubashara pale yanapopungua, au kuchokana?
  8. Bukoba: Mwalimu atakiwa kurejesha Mshahara aliolipwa kwa kufanya Udanganyifu kwa Mwajiri

    Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba. Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
  9. B

    Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama

    "Huu ni ushauri wa bure kwenu waungwana." Ni muhimu kuyatambua yafuatayo: 1. CHADEMA kimekuwa ni chama chaguo la wengi kwa muda mrefu. 2. Si kwa sababu ni chama bora sana, ila ni kwa kuwa kinayo nafasi ya kufanya maboresho. 3. Kwamba ndani ya changamoto zilizopo, hatimaye tutafika. 4...
  10. Ukraine wafaulu kurejesha eneo la Opytne

    Yaani hii aibu kwa Urusi, jeshi la kainchi kadogo hapo pembeni linaitesa Urusi hadi raha. ======= Deputy Defence Minister Hanna Maliar has said that the Armed Forces of Ukraine regained part of Opytne in Donetsk Oblast. Maliarʼs briefing on 11 September on the air of the national joint 24/7...
  11. Morogoro: TAKUKURU kuwachukulia hatua waliokopa Tsh. Milioni 600 za Halmashauri na kushindwa kurejesha

    Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Manyama Tungaraza ametoa agizo hilo dhidi ya vikundi vilivyopewa Mikopo ya 10% iliyotolewa na Halmashauri. Pia, amesema TAKUKURU imebaini Manispaa ya Morogoro ni kati ya maeneo ambayo ilitoa Mikopo hiyo bila kufuata...
  12. Kagera: Mahakama yampa Mtendaji wa Kijiji miezi 6 kurejesha Tsh. 8,974,125 za Halmashauri

    Ni agizo la Hakimu wa Mahakama ya Wilaya Muleba mkoani Kagera dhidi ya Stephen Karugendo, ambaye alishtakiwa kwa kosa la kukusanya Tsh. 8,974,125 ambazo ni mapato ya Halmashauri na kutoziweka Benki kinyume na Sheria. Mshtakiwa amebainika kukiuka Kifungu cha 29()2(c) cha Sheria ya Fedha za...
  13. Mkusanya Mapato afungwa miaka miwili Jela licha ya kurejesha Tsh. Milioni 10.6 alizoficha

    Ni Sylivester Vananth, aliyekuwa Mkusanya Mapato ya Halmashauri ya Ngara, Kagera aliyepewa hukumu hiyo na Mahakama baada ya kukutwa na hatia katika Kesi ya Uhujumu Uchumi na Ubadhirifu. Mshtakiwa alikiri Kosa na kuomba huruma ya Mahakama kwenye upande wa adhabu kwa kuwa ameshalipa Tsh...
  14. Afisa Mtendaji afungwa kifungo cha nje na kutakiwa kurejesha Tsh. Milioni 2 alizoiba

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe ikihusisha kesi ya Jinai No. 38/2023 dhidi ya Nassim Mbazu ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Mshtakiwa alikutwa na kosa la Wizi huku akiwa Mtumishi...
  15. SoC03 Ni jinsi gani Viongozi wa sasa wanaweza kurejesha Tanzania ya Viwanda ya Mwalimu Nyerere?

    Utangulizi: Tanzania ni nchi iliyojaaliwa rasilimali nyingi sana zinazofanya ionekane ni nchi yenye fursa nyingi za uwekezaji, masoko ya ndani na nje, na nguvu kazi yenye uwezo. Kwa kutumia rasilimali hizi, kuunganisha nguvu na kuchukua hatua madhubuti, Tanzania inaweza kurejesha hadhi yake...
  16. Ukraine yafanikiwa kurejesha maeneo muhimu tokea April 2022 Urusi wayanyakue

    Ni mafanikio makubwa miamba hii ya Ukrain ambayo kabla Urusi walipovamiwa Jeshi la Ukraine lilipewa masaa kusarenda waweke silaha chini.,
  17. Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
  18. L

    China kurejesha raia wake kutoka Sudan kwathibitisha tena nia ya China ya kulinda raia wake vizuri

    Ndege ya kukodi ya China iliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Beijing jumanne tarehe 2, ikibeba abiria zaidi ya 140 wa China waliorejea kutoka nchini Sudan. Kabla ya hapo, manowari za China zilizokuwa zikifanya kazi ya ulinzi katika Ghuba ya Aden zilikwenda Sudan na kuwachukua karibu...
  19. Ripoti ya CAG 2021/22: Mamlaka 180 za Serikali za Mitaa zimeshindwa kurejesha Tsh. Bilioni 88.42 ilizozikopesha

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mara nyengine ameendelea kuonyesha udhaifu mkubwa na ubadhirifu katika Fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu. Fedha hizi ni 10% ya Mapato ya Ndani...
  20. Serikali kurejesha hoteli zake zinazoendeshwa na sekta binafsi ili kuboresha huduma

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati wa kuwafanya watalii hao kuongeza siku za kukaa nchini na hatimaye kukuza pato la Taifa. Amesema moja ya mkakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…