kurejesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Lema amuomba Rais Samia kurejesha biashara ya Tanzanite Arusha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha. Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
  2. chiembe

    Mpina, thibitisha uchungu wako kwa taifa kwa kurejesha ekari elfu moja (1000) ulizodhulumu wanakijiji mkoani Morogoro, hawana pa kulima, wanakufa njaa

    Mpina, akiwa Waziri, kwa mbinu na vitisho alichukua ardhi yote yenye rutuba katika Kijiji hapa Morogoro. Anasikika akihimiza uzalendo na kukemea wizi, namsihi aanze kwa kurudisha shamba la wanakijiji, hawana pa kulima, amechukua ardhi ya kijiji kizima. Hakufilisi wavuvi tu, hata kwa wakulima...
  3. w0rM

    Ni muda muafaka sasa Tanzania kurejesha Wizara ya TEHAMA

    Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika hatua za awali, ilikuwa imeanza kujenga ukaribu na wadau na ndipo mchakato wa kuanzisha Sheria ya Ulinzi...
  4. BARD AI

    EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. 𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝗻𝗶 𝗻𝗶𝗻𝗶? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  5. L

    #COVID19 China imejizatiti kurejesha hali ya kawaida kama ilivyo kabla ya kuibuka kwa janga la COVID-19

    Caroline Nassoro Hivi karibuni, serikali ya China ililegeza masharti na hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19), na hii inatokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kudhibiti kuenea na vifo vinavyotokana na virusi hivyo. Binafsi, hatua hii imenipa matumaini...
  6. BARD AI

    Afisa Mtendaji afungwa miaka 2 na kutakiwa kurejesha Tsh. Mil 35.7 baada kifungo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu hiyo kwa Lukas Alcado Chole ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Chilulumo pamoja na kurejesha Tsh. Milioni 35,7 akimaliza kifungo. Afisa Mtendaji amekutwa na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ubadhirifu, makosa ambayo ni kinyume...
  7. MK254

    Video: Rais Samia amesababisha nianze kurejesha imani yangu kwa wanasiasa

    Huyu mama yuko simple na mkweli, anaeleza kama ilivyo na kuwa tayari kurekebisha badala ya kutukana au kulaumu laumu mabeberu..... Binafsi huwa nimewachoka na kuwakinai wanasiasa, kwa hii video inaonyesha bado kuna wachache wanaoweza kufuatiliwa...
  8. BARD AI

    Tanzania yaomba msaada wa kifedha kurejesha wakimbizi makwao

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameuambia Mkutano wa 73 wa Kamati Tendaji ya UNHCR kuwa hali ya kisiasa imeimarika Burundi na hivyo Wakimbizi wa Nyarugusu na Ndutu wanapaswa kuondoka. Akiwasilisha ripoti kuhusu hali ya wakimbizi mbele ya Kamishna Mkuu wa UNHCR Filipo Grandi, Masauni...
  9. CM 1774858

    DODOMA: Halmashauri kuu ya CCM yaongeza muda wa kuchukua na kurejesha fomu kutokana na Utitiri wa Wagombea

  10. MK254

    Ramani: Ukraine wamefaulu kurejesha ardhi zaidi ya nusu ya iliyokuwa imenyakuliwa na Warusi

    Hivi, Putin ana lipi lakuwaambia Warusi, kwamba vifo vya wanajeshi wao havikua na umuhimu wowote maana walichokua wameiba kimrejeshwa kizembe sana tena ndani ya siku chache tu... Justin Bronk of the Royal United Services Institute (Rusi) told the BBC that Russian positions in Kharkiv had...
  11. BARD AI

    Mbarali: Wahujumu uchumi wahukumiwa kulipa Tsh. Milioni 65.5

    Waliopewa adhabu hiyo ni George Kagomba aliyekuwa Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Ferdinand Manyele Mweka Hazina wa wilaya, Athuman Mwasomba aliyekuwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi. Wengine ni Bakari Nyamu aliyekuwa Mtakwimu Wilaya ya Mbarali, George Mbilla aliyekuwa Diwani, Mikidadi Mwanzembe...
  12. Donnie Charlie

    Uber, Bolt kurejesha huduma Tanzania

    Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) imesema, kampuni za usafiri kwa njia ya mtandao Bolt na Uber zinatarajia kurejea kutoa huduma za usafiri nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jumatatu, Septemba 12, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa Latra, Habibu Suluo wakati akizungumza na...
  13. MK254

    Operesheni ya kurejesha mji wa Kherson yazaa matunda, Warusi 82 wauawa na zana kulipuliwa

    Kibao kimegeuzwa, Mrusi aanza kupokea mapigo kwenye nchi aliyokua anajaribu kuparamia....mbele kwa mbele...hongereni Ukraine, hata kama mtauawa ila ni nchi yenu, taifa lenu, ardhi yenu, bendera yenu....vizazi vijavyo vitasoma kwenye historia namna mashujaa mlipambana na kumfukuza...
  14. Lady Whistledown

    Ujerumani kurejesha kazi za sanaa na vito vilivoporwa Barani Afrika enzi za Ukoloni wao

    Ujerumani imesema ipo tayari kurejesha vitu vilivyoporwa kutoka katika bara la Afrika wakati wa ukoloni zikiwemo kazi za sanaa kutoka Tanzania wakati wa Vita vya Maji Maji na migogoro mingine wakati wa utawala wake wa kikoloni wa mwanzoni mwa karne ya 20. Taasisi ya Prussian Cultural Heritage...
  15. Suley2019

    Je, umefuta ujumbe kwenye simu yako kwa bahati mbaya? Fanya hivi kurejesha

    Umefuta Message kwa bahati mbaya ?? Kuna wakati unajikuta katika kupunguza punguza vitu basi kwa bahati mbaya ukafuta (sms) au taarifa zako muhimu. Je unatakiwa upate stress🤔? Hapana! Kuna mbinu kadhaa unaweza kuzitumia ili kurejesha sms zilizopotea kwenye simu yako. Katika andiko hili...
  16. Roving Journalist

    Aliyevuliwa UASKOFU Kanisa la KKKT, Dkt. Mwaikali akubali kurejesha mali za Kanisa

    Wakati mgogoro ndani ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Dayosisi ya Konde ukifikia kwenye hatua ya kugombea mali, imefahamika kuwa hatimaye upande wa uongozi uliondolewa madakani umekubali kurejesha mali za kanisa hilo. Mgogoro uliibuka baada ya kuwekwa wakfu kwa Askofu Geofrey...
  17. Lady Whistledown

    Serikali ya Kijeshi nchini Mali yaahidi kurejesha utawala wa Kiraia ifikapo 2024

    Watawala wa kijeshi wa Mali wameahidi kurejeshwa kwa utawala wa kiraia katika kipindi cha miaka 2, kufuatia kuandamwa na vikwazo kutoka Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, ECOWAS Vikwazo hivyo ni pamoja na kufungwa kwa mipaka ya ardhi na anga, kusimamishwa kwa miamala yote ya kibiashara na...
  18. 5

    Ukraine waanza kurejesha Mji wa Severdonetsk ambao Russia walitangaza kuuteka

    The key Eastern City of Severodonetsk continues to see intense fighting, with Ukraine saying its forces have recaptured part of the city.
  19. F

    Tufanyeje kurejesha uzalendo Tanzania?

    Uzalendo tafsiri yake nyepesi ni kutokuvunja sheria za nchi yako. Chanzo cha uzalendo kutoweka ni umasikini ambao unatia watu tamaa siyo tu ya kulimbikiza mali kwa wastani na ziada, bali kutafuta chochote cha kuokoa roho/uhai kwa maana ya mahitaji ya msingi ya chakula, malazi na mavazi ambayo...
  20. The Assassin

    Elon Musk: Twitter kumfungia Trump maisha haikuwa sahihi, aahidi kurejesha Akaunti ya Twitter ya Trump

    Bilionea Musk amesema kitendo cha mtandao wa Twitter kumfungia maisha aliekua rais wa Marekani Bw. Trump kwenye mtandao huo ilikua ni makosa makubwa na ameahidi akikamilisha mchakato wa kuinunua Twitter anamfungilia Trump. Bw. Musk yeye anajiita muumini mkubwa wa uhuru wa kujieleza usio na...
Back
Top Bottom