kusafiri

Kusafiri is one of the five world centres of the World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS). It is based in Africa but has no fixed location, instead it moves around existing locations in different African countries.In October 2015, the name Kusafiri was given to the fifth world centre. Kusafiri means 'to journey' in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Beira Boy

    Zamani rais wa Somalia akitaka kusafiri mkoan walitumwa usalama, saivi rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha

    Amani kwenu wakuu Sisi ambao ni wenyeji wa Somalia tunakumbuka kwamba zamani rais alikuwa akitaka kusafiri, walitumwa wana usalama eneo husika Lakini cha ajabu kwa sasa huku Somalia rais akitaka kusafiri wanatumwa machawa kama wote kuhamasisha watu wajitokeze barabaran kumlaki Dah...
  2. U

    Serikali ya Lebanon yapiga marufuku ndege za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutua uwanja wa ndege Beirut, maelfu ya abiria wakwama kusafiri

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Dozens of Lebanese nationals have been stranded at the international airport in Tehran since this morning after Lebanese aviation authorities informed the Iranian Mahar Air airline that its flight to Beirut would not be...
  3. GoldDhahabu

    Unaweza kusafiri kwenda mahali usiyoijua lugha yao?

    Chukulia kuwa hujui Kingereza, utdhubutu kwenda kwenye nchi wasioongea Kiswahili bali English pekee bila kuwa na mkalimani? Jipe hiyo changamoto uone matokeo yake. Nenda labda Zambia au Malawi. "Hutakufa", badala yake utajua wewe ni mbunifu zaidi ya ulivyokuwa ulivyojikadiria. Mwisho wa siku...
  4. GoldDhahabu

    Unafikiri ni kwa nini ni muhimu mtu kusafiri safari ya "mbali" alau mara moja kwa mwaka?

    Dr. Napoleon Hill, anayesadikika kuwa alitumia kipindi kisichopungua miaka ishirini kutafiti sababu inayowafanya watu kufanikiwa na wengine kufeli, alikuwa na kawaida ya kuwashauri "wanafunzi" wake kuwa kama wanaishi mijini, basi wawe wanaenda vijijini alau mara moja kwa mwaka, na kama wanaishi...
  5. Rozela

    Je ni hali ngumu? Rais Samia Kusafiri na Kisimbuzi cha Azam kila aendapo?

    Kuna tangazo linawekwa sana UTV rais Samia anasema kuwa kila anapo safiri wasaidizi wake lazima wabebe kisimbuzi cha Azam. Sasa ninachojiuliza, inamaana akitoka ikulu ya Dar wasaidizi wake wanabeba wanaenda nacho Kizimkazi, badae wanaunganisha nacho Dodoma, badae wanaenda nacho Mwanza n.k...
  6. Waufukweni

    Kibu Denis arejea na kusafiri na Kikosi cha Simba SC kuwafuata Singida Black Stars

    Kibu Denis ni miongoni mwa wachezaji walioungana na kikosi cha timu yao jioni hii kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Black Stars. Kibu alikosa michezo miwili ya awali dhidi ya Kagera Sugar na JKT Tanzania kufuatia safari ya kushughulikia matatizo ya...
  7. S

    DOKEZO Kwa wote mnaotarajia kusafiri kwa magari yenu kipindi cha December/January ningependa kuwakumbusha jambo la msingi sana hapa, kwa faida na uhai wenu

    Hii ni thread niliiandika mwaka 2015, na ni mojawapo ya thread ilisomwa sana humu JF, na hata kuandikwa gazeti la Mwananchi. Kutokana na umuhimu wake, nimeona niihuishe tena nikijua kuna wengine hawakuwahi kuisoma, na inaweza kuokoa uhai wao, hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza...
  8. tang'ana

    Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani. Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
  9. Suley2019

    KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  10. S

    Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

    Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali. Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea...
  11. Saad30

    Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

    Habari wakuu. Iko hivi Kuna mchizi wangu yeye Ni msafiri wa nje ya Nchi kwajili ya hustle zake.Safari yake yeye Ni Italy Tu alianza kusafiri 2009 huyu jamaa.Miaka ikasogea akapa mchumba 2018 Na wakafunga ndoa. Mwaka huo WA 2018 aliondoka akamuacha mke wake Na ujauzito akarudi 2020 kutoka Italy...
  12. Lady Whistledown

    Maseneta wazuiwa kusafiri hadi hukumu ya Gachagua itoke

    Wajumbe wa Bunge la Seneti wamezuiwa kwa muda kusafiri nje ya nchi ili kuhakikisha Wajumbe wote wanashiriki katika kesi ya kumng'oa Naibu Rais Rigathi Gachagua bila usumbufu wowote. Bunge la Seneti linatarajiwa kutoa uamuzi wa shauri hilo ndani ya Siku 10 kuanzia Okt. 9, 2024 Kwenye taarifa kwa...
  13. Ritz

    Meli ya mafuta ya Ugiriki yakiuka marufuku ya kusafiri kwa bandari za Israel yalipuliwa.

    Wanaukumbi. Ansar Allah ya Yemen AILIPUA meli ya mafuta ya Ugiriki katika Bahari Nyekundu kwa kukiuka marufuku ya kusafiri kwenda bandari za Israel. Yemen wamesema wazii kabisa hawataki kuona Meli yeyote ikipita red sea kupeleka bidhaa zozote Israel kwa wauaji wa Watoto wa Gazza...
  14. M

    Nataka kusafiri na ndege kwa mara yakwanza dar-bukoba

    Habar wakuu nataka kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu ..safar yangu nikutoka dar-bukoba..nin kinatakiwa kuwa nacho na kipi hakitakiwi na pia nin chakuzingatia ili kufanikisha safar niweze safiri...Sina uelewa wowote na nauli nishingap one way
  15. Nakimbizwa

    Binadamu Tunapaswa Kuwa Jamii yenye uwezo wa Kusafiri Angani, nje ya dunia

    I appreciate all of you reading this. Katika karne hii ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia, wazo la kuwa jamii yenye uwezo wa kusafiri angani limekuwa suala lenye umuhimu mkubwa. Licha ya changamoto nyingi zinazohusiana na usafiri wa anga za mbali, kuna umuhimu binadamu tuweze kusafiri...
  16. G

    Msaada haraka Chanjo ya manjano(yellow fever) nataka kusafiri nje ya nchi

    Habari wana jamii, samahani ndugu yenu nimepata safari nnje ya nchi sasa sijui chanjo ya manjano inachukua mda gani kudungwa dosi na kupata cheti chake maana safari ipo karibu sana. Naombeni msaada kwa wazoefu tafadhali
  17. ngara23

    Nawapongeza LATRA na SUMATRA kwa kuruhusu mabasi kusafiri saa 24

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Wiki iliyopita nilitoka nyumbani Ngara hadi Mwanza nikiwa nataka Kulala nikakuta bus la saa 9 mchana kwenda Dar, nikafika Dar saa 2 asubuhi, aisee nilifurahi mno. Zamani tulikuwa tunafika dar usiku wa manane na kuanza kusumbuka na usafiri na sehemu za...
  18. BARD AI

    Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  19. HUKU ABROAD

    Hii inawahusu wanaopenda kusafiri nje ya nchi

    Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri. Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad. Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na Ma agent wengi wamekuwa haitumii kwenye swala zima la kufata taratibu za Kusafir Abroad. Kwa wenye...
  20. Jerrymsigwa

    Faida na hasara za kusafiri mikoani na mabasi ya usiku

    Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so hakuna chochote za ziada nilicho experience. Kwa kuwa ni mara yangu ya 1, nimeona baaddhi ya...
Back
Top Bottom