kusafiri

Kusafiri is one of the five world centres of the World Association of Girl Guides and Girl Scouts (WAGGGS). It is based in Africa but has no fixed location, instead it moves around existing locations in different African countries.In October 2015, the name Kusafiri was given to the fifth world centre. Kusafiri means 'to journey' in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Siku hizi tumechoka kusafiri tena 'Majuu' au wenyeji wetu wapo 'busy' na wanaona tunawaharibia tu Ratiba zao Muhimu?

    GENTAMYCINE sijasafiri muda mrefu sasa kwenda 'Majuu' sijui nimechokwa au? Ngoja nilazimishe sasa kwenda hata China kwa Makamarada (Comrades) na wao wakinikataa nitaomba kwenda Ukraine au Urusi (kwenye Vita) japo naogopa Kufa kwani naivizia sana 2025 ili nami niweke Historia yangu na siyo...
  2. I

    Sensa itachukua siku ngapi? Watu wataenda makazini? Kusafiri mikoani je?

    Wadau naomba kujibiwa maswali yangu haya, ili nijue napangaje ratiba zangu.
  3. MSAGA SUMU

    Je, Rais Samia kusafiri nchi mbili kufuatia vifo vya viongozi wakuu wastaafu?

    Mipango ya Mungu haiepukiki. Kama mnavyojua dunia imepata mapigo mawili ya misiba Shinzo Abe wa Japan na Rais mstaafu wa Angola ndg Dos Santos. Kwa sababu za kiprotokali mama Samia wiki ijayo huenda akawa bize Sana, kwanza ataenda Tokyo kutoa heshima zake za mwisho kwa Wajapan na familia kwa...
  4. JanguKamaJangu

    Man United kusafiri leo, Cristiano Ronaldo kukosekana kwenye msafara

    Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana na kuongezewa muda wa kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Pamoja na hivyo bado haijulikana...
  5. GENTAMYCINE

    Muda wote tu unawaza Kusafiri 'Majuu' kwanini huku nyuma Wajanja 'wasikupige' na Kujitajirisha?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aeleza kutoridhishwa na kasi ya uendeshwaji wa bandari. Chanzo: ikulu_mawasiliano Na kwa Kukusaidia hupigwi tu hapo Bandari bali unapigwa zaidi katika Utalii, Wizara ya Fedha na katika Madini. Si ulisema Wewe utakuwa Mpole na...
  6. B

    Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  7. JanguKamaJangu

    Wapiga debe hawatambuliki kisheria, abiria ana haki ya kusafiri mazingira salama kusiwe na kelele

    Licha ya abiria wengi wa usafiri wa daladala na mabasi makubwa kukumbana na usumbufu wa wapigadebe katika vituo vya mabasi imeelezwa wapigadebe hao hawatambuliki kisheria. Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA), Hassan Mchanjama anasema: "Kwenye sheria wapiga debe hawapo...
  8. K

    Mrusi kusafiri kwa miaka 40 kama wana wa Israel

    Kuna msemo maarufu wa waingireza usemao "history repeats itself" kwa ninavyoona majeshi ya Urusi huko Ukraine huenda yakatumia miaka 40 kwenda Kyiv kama wana wa Israel walivyotumia miaka 40 kusafiri kutoka misri kwenda Palestine
  9. L

    Watu wa kawaida pia wanaweza kuweka historia, hata kusafiri anga za juu

    Aprili 16, wanaanga watatu wa China waliokwenda anga ya juu kwa Chombo cha Shenzhou No. 13 walirejea nyumbani salama wakiwa na hali nzuri kiafya. Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, wanaanga hawa waliweka historia mbalimbali mpya katika sekta ya safari za anga ya juu ya China. Wanaanga hawa...
  10. Cannabis

    Ushauri kwa wanaotegemea kusafiri kuelekea Malawi, ni lazima uwe umechanjwa dhidi ya UVIKO-19 na uonyeshe kithibitisho

    Nawakumbusha tu kwa wadau wowote mnaotegemea kusafiri kuelekea nchini Malawi kwamba nchi hiyo ina masharti makali dhidi ya UVIKO-19. Hakuna raia anayeruhusiwa kuingia nchini humo pasipo kuonyesha uthibitisho wa kuchanjwa dhidi ya virusi ya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19. Nawatakia...
  11. winnerian

    Kusafiri nje ya nchi kwa viongozi wa kisiasa na hata wale makinda wa kisiasa ni jambo jema

    Wengi wanahoji kwanini Rais SSH anasafiri sana nje! Jibu ambalo linahitaji mtazamo mpana sana ni kwamba KULE NJE ANAKUWA "EXPOSED" NA MAZINGIRA YA KIMAENDELEO na namna dunia inavyosonga mbele kwa kasi. Kwa mtazamo huu utagundua kila safari inamuongezea uchu wa kutaka kuiona Tanzania inajitahidi...
  12. Super Handsome

    Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  13. GENTAMYCINE

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  14. Bonheur Travels Tanzania

    Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Mwaka 2022 unagawanyika kwa mbili. Ni mwaka mzuri. Usikubali ukaishi maisha ya dhiki na kutofurahia maisha. Unafanya kazi ili iweje kama huwezi kutenga siku kadhaa za kufurahia maisha? Dhamiria kuufanya mwaka huu kuwa mwaka wa kujipa nafasi binafsi. Au kama uwezo unaruhusu, basi jipe nafasi na...
  15. Sam Gidori

    #COVID19 Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  16. SNAP J

    #COVID19 Israel yaweka zuio la kusafiri karibu nchi zote za Afrika

    Karibu Nchi zote za Africa, kasoro zile zinazopatikana kaskazini mwa Africa (Northern African countries) zimepigwa ban na taifa la Israel ijumaa ya tarehe 26 Novemba 2021 kutokana na hatari ya kirusi kipya cha korona kilichopewa jina na la "Omicron" na shirika la afya duniani WHO ambacho...
  17. J

    Rais wa Tanzania kufanya ziara ndani ya nchi ni ghali kuliko nje

    Gharama ya Rais wa Tanzania na deligate yake kusafiri ndani ya nchi ni kubwa kuliko ile yakwenda nje japo Safari zote mbili zinaumuhimu mkubwa kwa Taifa letu, Kipindi flani niliwahi kuhesabu magari ya msafara wa Rais wa JMT sina kumbukumbu sahihi ila yalizidi magari 40 mengi yakiwa...
  18. Tanzania Railways Corp

    Kusafiri na Treni ni zaidi ya safari

  19. Sam Gidori

    Ghana: Kitambulisho cha Taifa kitawawezesha wananchi kusafiri bila Visa

    Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022. Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
  20. Pascal Mayalla

    Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
Back
Top Bottom