kusafirisha

  1. SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

    Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china. Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara. Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Kupitia uzi huu utaweza kuona bei halisi za bidhaa pamoja na kujua ni jinsi gani...
  2. Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

    16 Novemba 2022 niliandika katika mtandao wa Twitter au X kama unavyoitwa kwa sasa kwamba vigogo wengi ndani ya CCM wanatumia bendera za CCM hasa wakati wa chaguzi kusafirisha wahamiaji haramu. Miezi 16 baadaye yani March 24, 2024 linakamatwa gari lenye bendera ya CCM likisafirisha wahamiaji...
  3. D

    Kusafirisha kitanda

    Wakuu kwema. Ndgu yenu hapa naomba kujuzwa gharama nafuu za kusafirisha kitanda na godoro toka Morogoro mpaka Dar. Ni usafiri gani wa bei rahisi naweza kuutumia na gharama zake zikoje lakini pia unapatikana maeneo gani hapo Moro?? NB. Mimi ni mgeni Morogoro. Natanguliza shukran zangu kwenu...
  4. Kusafirisha viazi mbatata nje ya nchi

    Habari wana Jamii Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege maana napeleka Congo hivyo nahitaji taratibu za export pamoja na nauli za ndege Ethopia Airline
  5. M

    Msaada: Nahitaji kufahamu gharama za kusafirisha Container (empty) kutoka China mpaka Tanzania

    Wadau, Nataka kusafirisha empty container kutoka China mpaka Tanzania, je ni kiasi gani kusafirisha kwa container na je nitatakiwa kulipa ushuru/kodi yoyote kulitoa bandarini? Asanteni sana.
  6. Mbeya: Raia wa Rwanda ashikiliwa kwa kusafirisha Dawa za Kulevya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili akiwemo raia wa nchini Rwanda, Assouman Gahigiro [48] na Winny Bruno [31] mkazi wa Kiwira Wilaya ya Rungwe kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya aina ya Bhangi kilogramu 20. Watuhumiwa walikamatwa Januari 27, 2024 katika kizuizi...
  7. Pre GE2025 Mabasi ya Mikoani yaliyopata kazi ya kusafirisha Wanachama wa CHADEMA kuelekea Dar yasihujumiwe

    Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale. Zaidi ya Mabasi 100...
  8. Akamatwa baada ya kujiuzulu kazi akiwa katikati ya kusafirisha wafungwa

    Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
  9. J

    Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kusafirisha shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam

    Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
  10. 5

    Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  11. A

    Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

    - Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem? - Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
  12. Ukraine Kusafirisha Ngano Kwenda China Na Misri Wakati Meli Tano Zikiingia "Black Sea"

    Mytake:Hichi kitendo cha Ukraine kusafirisha ngano bila kuogopa vitisho vya Urusi ina maana sasa rasmi Putin anapuuzwa hata na marafiki zake wa karibu kama China 🤔 ..... https://m.jpost.com/international/article-761179
  13. M

    Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  14. Dar: Ajali ya mchezaji wa simba Che Malone yaua dereva wa bodaboda

    Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi. Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa akitokea masaki kula bata kwenye pati Aidha imebainika kwamba si kweli kwamba mchezaji huyo alitoka...
  15. V

    Vibali vitumike kwa wakulima wa mbaazi

    Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza...
  16. Iran yakamata meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania kwa madai ya kusafirisha mafuta kwa njia ya magendo

    Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday. "The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
  17. Ukraine wapiga meli nyingine ambayo hutumika kusafirisha mizinga ya Urusi

    Wanapiga popote, hizi drones zimekua shida.... A Ukrainian uncrewed surface vessel (USV) hit a Samum-class missile carrier hovercraft on Thursday, 14 September. Source: Ukrainska Pravda’s sources in the Security Service of Ukraine (SSU) Details: The sources said the SSU's SeaBaby USV hit the...
  18. G

    SAFIRISHA NA MO CARGO KUTOKA CHINA,INDIA NA DUBAI KUJA TANZANIA KWA BEI NAFUU

    KARIBU Mo cargo Company Limited, has the right and affordable Logistic Solutions to your Cargo be, it small or big. With our in-depth domestic experience ( East and Central Africa ) in Clearing and Forwarding and considerable overseas experience on Imports/Exports , are able to tailor made our...
  19. MO CARGO: Kampuni bora ya kusafirisha mizogo China, Dubai na India

    Habari za muda wadau, Mimi shughuli zangu ni za kusafirisha mizigo China, India na Dubai. Nimefanya kazi na kampuni nyingi za usafirishaji, lakini nikiri wazi kuwa Kampuni ya Mo cargo wana huduma nzuri sana na consolidation yao ipo kwa kiwango kikubwa mno, hawadanganyi wateja wala hawaongezi...
  20. Utapeli: Hii ndio shida ya kununua simu za delivery mikoani, Kawekewa simu ambayo wateja wanaofika dukani hawaitaki

    Nipo hapa Iringa kikazi kwa wiki hivi, kuna dogo niliemuasa sana asubiri nirudi Mbeya mwenyewe nimnunulie simu ila tamaa imemponza kaagiza wamsafirishie kwa basi. Hapo Mbeya hilo duka kuna kipindi niliwahi kwenda kuulizia hio simu anayoitaka, kulikuwa na ambayo imebonyea bonyea, kwenye kona ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…