kusafirisha

  1. Hemedy Jr Junior

    Njia 3 zinazotumika kusafirisha madawa ya kulevya kwa siri .

    Ushoga dili,kumbe wengine washafirishaji wa madawa ya kulevya sikia hii. Leo ni siku nyingine tena katika chanel hii hapa unapata elimu na BURUDANI kwa kina kabisa. Tuanze na habari kuhusu ushoga. Ushoga ni nini? Ushonga ni hali ya kutamaniana we mwenyew angali wote. Mko na jinsia moja MWANAUME...
  2. peno hasegawa

    Bunge lisitishe kusafirisha abiria usiku, hali sio shwari

    Nimesema tu, wenye mabasi waendelee kuchangia Vinginevyo abiria wanao safari usiku wawe na Bima kubwa
  3. M

    Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  4. R

    Nahitaji kusafirisha mazao kutoka Karagwe mpaka Dar es Salaam

    Habari wakuu, Naomba mwenye usafiri au mwenye kujua bei za kusafisha mazao kutoka Karagwe kwenda Dar anijuze ni shilingi ngapi kwa gunia la kilo 100. Asanteni
  5. F

    Mabasi ya Ester Luxury coach yadaiwa kusafirisha milungi

    Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kilimanjaro imemweka kiti moto mmiliki wa mabasi ya Ester Luxury Coach baaada ya mabasi yake kudaiwa kukubuhu katika biashara ya usafrishaji madawa ya kulevya aina ya milungi. Mmiliki huyo alifika mbele ya kamati hiyo hivi karibuni iliyoketi chini ya...
  6. Lycaon pictus

    Bajaji hazipaswi kabisa kusafirisha abiria barabara kuu

    Bajaji zililetwa kama usafiri wa walemavu. Baadaye zikaruhusiwa kusafirisha abiria kutoka maeneo ya pembezoni kuja barabara kuu. Leo hii sehemu nyingi zimegeuka usafiri barabara kuu. Na hili ni baada ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakuu wa polisi kuona ni biashara nzuri na kuianza...
  7. vibertz

    Naomba muongozo wa kupata vibali vya kusafirisha nyama

    Habari, Nataka niwe nasafirisha nyama kutoka Tanzania bara kupeleka Tanzania visiwani. Mwenye uzoefu wa hii biashara naomba anifahamishe kuhusu namna ya kupata vibali na nyaraka zote zinazohitajika katika biashara hii. Na namna nzuri ya usafirishaji na kufanya packing. Asante.
  8. S

    Ushawahi panda gari za kusafirisha magazeti ?

    Aiseee zile gari acha kabisa Yani kabla hujakaa tayari upo Kibaha mana Dar - Moro ni lisaa tu 😂😂😂😂 Kupanda zile gari inahitaji uwe na roho ya paka 😆😆😆 Sishauri kabisa wanawake kupanda zile gari mana sisi wanaume tu tunapanda kwa dharura Embu tupe uzoefu wako mara ya kwanza kupanda zile gari...
  9. BARD AI

    Tanzania kusafirisha Dizeli kwa bomba kwenda Zambia

    Mawaziri wa nishati wa Tanzania na Zambia, wamekubaliana taratibu za namna ya kuimarisha ulinzi katika bomba la TAZAMA litakalosafirisha mafuta ya dizeli kutoka nchini kwenda katika Taifa hilo jirani. Miongoni mwa masuala hayo ni kuongeza askari katika njia ambazo bomba hilo linapita...
  10. BARD AI

    Wanaodaiwa kusafirisha Heroine waiangukia Mahakama

    Wakili wa Utetezi katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin zenye uzito wa kilo 19, inayowabili raia watatu kutoka nchini za Lativia na Nigeria, Elipatra Ali, ameiomba Mahakama ielekeze upande wa mashtaka wakamilishe kusajili nyaraka muhimu Mahakama Kuu. Wakili Ali ameieleza...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Kilichochelewesha mradi wetu wa LNG ni siasa nyingi, mimi naumia sana Msumbiji kututangulia kusafirisha LNG

    Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011. Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi. Sekta yetu inakasoro nyingi sana zinazokwamisha maendeleo ya miradi yetu. Siasa iliyokua ikitumika ndio imechelewesha sisi kuanza mradi wa LNG...
  12. Lord denning

    Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

    Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya...
  13. BARD AI

    Dar: Mfanyabiashara kutoka Tabata afikishwa Mahakamani kwa kusafirisha binadamu

    Mfanyabiashara na mkazi wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, akikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji haramu wa binadamu. Masoli amefikishwa mahakamani leo, Oktoba 31, 2022 na kusomewa shitaka lake na wakili wa Serikali, Caroline Materu...
  14. BARD AI

    Kenya yaondoa ulazima wa kutumia SGR kusafirisha mizigo kutoka Mombasa

    Wafanyabiashara sasa wako huru kuondoa mizigo yao Mombasa na kutumia njia yoyote ya usafiri kusafirisha mizigo yao kutoka bandari ya Mombasa hadi Nairobi na maeneo mengine ya pembezoni. Hii ni baada ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (KPA) kutoa notisi ya kufutilia mbali marufuku ya...
  15. D

    Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

    Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
  16. Miss Zomboko

    Kenya 2022 Polisi Wakamata Malori Mawili yakidaiwa Kusafirisha Wapiga Kura Kutoka Uganda

    Polisi walinasa malori mawili katika eneo bunge la Endebess Kaunti ya Trans Nzoia yakidaiwa kuwabeba wapiga kura 91 kutoka taifa jirani la Uganda kulekea vituo mbalimbali vya kupigia kura. Watu 65 walifanikiwa kutoroka kufuatia usaidizi wa Mbunge wa Endebess Robert Pukose ambaye alipaza kilio...
  17. M

    Ukraine waliingia mkenge: Mkataba wa kusafirisha ngano uliposainiwa walidhani Odesa haitashambuliwa, wakaficha silaha hapo!

    Hatimaye Ukraine na Urusi walifikia makubaliano ya kuruhusu ngano ya ukraine kusafirishwa kwa kutumia bandari ya Odessa. Ukraine walivyoona hivyo, wakaamua kupeleka kwenye bandari hiyo meli iliyokuwa na mitambo ya kurushia makombora ya HIMARS yaliyotoka Marekani. Walifikiri kuwa bandari ya...
  18. L

    Kenya yapanga kuanza kusafirisha Chai Nyeusi kwenye soko la China

    Kenya inapanga kuanza kuuza chai nyeusi kwenye soko la China kufuatia kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hiyo kwenye soko la China. Nia hiyo ya Kenya imejulikana kwenye ziara iliyofanywa na balozi mteule wa Kenya nchini China Bibi Muthoni Gichohi, kwenye kiwanda cha chai cha Nduti mjini Murang’a...
  19. M

    Kusafirisha mifugo (mbuzi/ng'ombe) Iringa to Dar

    Wadau salaam, Naomba connection kwa mtu yoyote mwenye uzoefu wa kusafirisha mifugo kutoka mkoani iringa kuja Dar hasa mbuzi na ng'ombe. Natafuta mdau wa kuchangia usafiri ili nilete mifugo. Kutoka Iringa kuja Dar Ahsante.
  20. C

    Natafuta kibali cha kusafirisha mnyama nchini

    Habari MwanaJF, Sasa nimesafirisha nje ya nchi. Niko Ulaya, nilipata hapa paka. Ninataka kurudi nae Tanzania, lakini shirika la ndege liniambia lazima kuwa na kibali cha import (certificat of import) kutoka wizara ya mifugo ya Tanzania. Nilijaribu kuwapigia simi, hawapokei. Sasa ninamtafuta...
Back
Top Bottom