Habari wakuu!
Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?
Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametangaza kuwa polisi wamemkamata raia mmoja wa Tanzania akihusishwa na usafirishaji wa wahamiaji haramu 16 wa Ethiopia, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo ni Yohana Adam, mkazi wa Kasumulu katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya.
Matei amesema kuwa...
Hebu nisaidieni nina shamba langu la maua Arusha au Nairobi natakiwa nisafirishe hayo maua kwenda ulaya (cargo) Sasa swali linakuja Yani pipa lichome wese toka Arusha au Nairobi mpaka Heathrow airport UK hivi faida napataje ? Sielewi hii biashara nisaidieni.
Hello habari,
Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR.
Na utaratibu mwingine kama upo.
Asante.
Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
Habarini za mchana.
Nimewaza kufanya biashara tajwa, ya safirisha samaki kwa ndege kutoka mwanza kwenda dsm bila kutumia freezer.
Vibali vipo ila sina uzoefu na usafirishaji wa njia hii.
Je kwa mtaji uliopo wa milion mbili inawezekana? Naomba mwenye ABC za biashara hii anipe mbinu,cost,risk...
By Hadija Jumanne
Summary
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania...
Nimekuja tena kwenu wana jamvi naomba msaada wa kujua zipi ni faida za kusafirisha mzigo kama full container au Loose cargo kutoka China au Nchi za Wenzetu.
Moja kuhusu gharama za usafirishaji. Pili kuhusu mambo ya bandarini mzigo ukifika.
Nakukaribisha kwa mjadala.
CC Top leader
Polisi jijini Dar es Salaam wamelikamata gari lililokuwa na mizoga ya ng'ombe katika machinjio ya Tegeta. Kilichopelekea Polisi kufanya msako katika machinjio hayo ni taarifa waliyopewa na wasamaria wema walioshtushwa na harufu kali ya uozo kutoka eneo hilo
Habari za awali zilizopatikana katika...
Wakati chupa za dawa zikipakiwa katika ndege zisizokuwa na rubani kwa ajili ya kusafirishwa, kundi la watu limekusanyika kwa mbali kutazama ndege hiyo yenye upana wa mita 1.5 katika eneo la Kituo cha Afya cha Bufumira III, jimbo la Kalangala nchini Uganda.
Mzigo huo wa dawa za kufubaza makali...
Habar zenu jamani.
Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo.
Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta...
Kwa wanaofahamu lengo langu nataka ninunue gunia za mchele kutoka Mbeya kuja Dar es salaam kwa ajili ya biashara.
Nataka nifahamu bei ya usafirishaji.
Na pia nifahamu sehemu nitakayopata magari ya kusafirishia.
Na pia nataka nijue vibali vya kuwa navyo ili nisisumbuliwe na bei zake zote.
Na...
Mkazi wa Mbezi Tangibovu Said Mbasha(24), na wenzake watatu, wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroin kilo 30.
Wengine ni Joseph Dalidali(27) maarufu Kama Mbezi Tangibovu; Allu Murugwa( 24) mkazi wa Kijitonyama na...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh Mongela amesema Idara ya uhamiaji mkoani humo imefanikiwa kumkamata David Kasesela ambaye ni master mind wa biashara ya kusafirisha biashara haramu.
Mongela amesema kwa muda mrefu wamekuwa wanamsaka Kasesela na leo wamefanikiwa kumtia mbaroni akiwa na kundi la...
Dar Es Salaam. Mshatakiwa wa kwanza katika kesi ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, kukwepa kodi na kuisababishia hasara ya Sh31milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Sadikiely Meta(71) amefariki dunia katika Hospitali ya Temeke alikokuwa akipatiwa matibabu.
Meta na wenzake...
Wanawake takriban 15 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na T.I. pamoja na mkewe Tiny Harris.
Wanawake hao wamejitokeza kupitia ukurasa wa mwanadada Sabrina Peterson ambaye wiki hii aliibuka kupitia Instagram na kudai T.I. aliwahi kumtishia bastola. Baadaye rapa huyo...
Waziri Jafo amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tarime kwa kusafirisha mwili wa mtumishi juu ya carrier ya gari.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Tarime, Jumanne Yassin ili kupisha uchunguzi
Yassini...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza kukamatwa kwa askari watano katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutokana na kushiriki matukio ya kihalifu.
Agizo hilo linakuja siku chache baada ya kufukuzwa kazi kwa askari wanne wa jeshi hilo kutokana na...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Chongolo amesema wale wote waliokamatwa katika zoezi la kukamata wanaowatumikisha walemavu wametenda kosa la jinai.
Chongolo amesema wahusika wa miradi hii watashtakiwa kwa kosa la kusafirisha binadamu.
Walemavu waliokamatwa wengi wanatoka mikoa ya Shinyanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.