kusafirisha

  1. Tony254

    KCB inapanga kununua Benki moja Tanzania na nyingine Rwanda

    Kenya ndio baba la Afrika Mashariki na Kati. Equity bank imenunua benki mbili DR congo. KCB ipo South Sudan na Ethiopia. KCB ipo Uganda na Tanzania. I&M inapanga kununua benki Uganda. Sasa KCB inapanga kununua benki Rwanda na Tanzania. Hakuna nchi hapa Afrika Mashariki ambayo hatujanunua benki...
  2. Tony254

    KQ imeanza safari ya kusafirisha cargo kutoka Mombasa hadi UAE

    Wakati jirani zetu wanaomba KQ ikufe, KQ inazidi kutafua biashara mpya kila siku. Mtangoja sana. Kenya Airways begins direct cargo flights from Mombasa to UAE By Citizen Reporter For Citizen Digital Published on: November 26, 2020 12:20 (EAT) The official launch of the Kenya Airways maiden...
  3. Analogia Malenga

    Raia wiwili wa kigeni wahukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine

    RAIA wawili wa Iran Nabibaksh Pribaksh Bidae nahodha wa Jahazi na Injinia wake, Muhamad Hanif wamehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine zenye uzito wa kilogramu 111.02. Hukumu hiyo ya kesi ya uhujumu uchumi...
  4. B

    Nahitaji kufungua ofisi ya kusafirisha mizigo na kufanyia clearance naombamsaada kwa mwenye uzoefu

    Ndio nataka kufungua ofisi ila nahitaji ushauri na kunielekeza pa kuanzia, usajili brela nina fahamu pa kuanzia ila sasa taratibu zingine mfano nini cha kufanya kama kuwa certified na TRA na process zingine. Msaada tafadhali.
  5. Adimu

    Natafuta Bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa kusafirisha abiria

    Habari wakuu, mimi ni dereva mwenye leseni inayoniruhusu kuendesha abiria na nina hati ya tabia njema kutoka wizara ya mambo ya ndani. Natafuta bajaji au gari ndogo ya mkataba kwa ajili ya kazi ya kubeba abiria. Namba zangu ni 0742783775
  6. Infantry Soldier

    Mtindo wa Misiba ya Siku Hizi: Watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanavyokataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini na kupasua ukoo

    Je, kuna umuhimu wa wazazi kuwapeleka watoto kijijini wakati wa kipindi cha likizo? Unawapelekaga watoto wako? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Siku za hivi karibuni nimekuwa nikishuhudia matukio mengi sana zaidi ya mara 4 katika misiba niliyopata...
  7. H

    Mwenye uzoefu na DHL kusafirisha mzigo kutoka Alibaba

    Habarini watanzania wenzangu, Naomba kupata uzoefu wenu ambao mmewahi kusafirisha mizigo yenu mliyonunua mtandaoni hususani Alibaba kwa kutumia DHL Express, gharama zao zikoje kwa 1kg, na pia mzigo unachukua siku ngapi kufika, lakini pia mlifanyaje kuweza kutumia DHL maana katika options za...
  8. Samedi Amba

    Natafuta mahindi ya kusafirisha nje ya nchi

    Hello wanajamvi, Mtu fulani ughaibuni anataka mahindi, tani 100 (kilo laki), ila kwa Tshs. 400 kwa kilo. Kama hili linawezekana kwako, njoo tuongee. Mda huo unatupa kisogo...
  9. issawema

    Natafuta kampuni ya usafirishaji au dereva wa kusafirisha vitu vya ndani

    Natafuta kampuni au dereva anihamishie vitu kutoka Dar kuelekea Mafinga na vitu vya ndani kitanda kabati etc...kwenye tar 26 au 270 mwezi huu. Kama unainua kampuni au ww ni dereva ni PM contacts zako nkutafute. Aksanteh
  10. Cannabis

    Kenya: Familia yalazimika kutumia trekta kusafirisha maiti sababu ya barabara mbovu

    Familia ya Kirui ililazimika kutumia trekta kuusafirisha mwili wa mpendwa wao kutoka hifadhi ya maiti kutokana na hali mbovu ya barabara iliyosababishwa na mvua kubwa. Mwili huo ulikuwa unasafirishwa hadi kijiji cha Kapsita kwa ajili ya mazishi jinsi Citizen TV ilivyoripoti Ijumaa, Septemba 11...
  11. B

    Nawezaje kusafirisha bajaj kutoka Dar to Mwanza kwa lori

    Habari wakuu, Nahitaji ushauri mwenye uzoefu na hii kitu.
  12. Miss Zomboko

    Shamimu Mwasha na mumewe wakutwa na kesi ya kujibu katika tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya. Kuanza kujitetea Septemba 3

    MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu kama Mafisadi imesema kwamba mfanyabiashara Abdu Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), wana kesi ya kujibu. Kadhalika, mahakama hiyo imesema wanafamilia hao wataanza kujitetea kesho (Septemba 3). Uamuzi huo umetolewa jana na...
  13. Bhbm

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ninaomba kujuzwa wanajf wenzangu, je ni nafaka aina gani zinaweza kuwa na soko zuri hapa mjini Dar? Na je ni mtaji kiasi gani naweza kuanzia nao? Natanguliza thanks. WADAU WANAOHITAJI MIONGOZO KUHUSU BIASHARA HII IFAHAMU BIASHARA YA MAZAO YA CHAKULA Haijalishi watu ni masikini kiasi...
  14. L

    Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa. Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
  15. kavulata

    Kusafirisha wanafunzi ni kazi ya nani?

    Wanafunzi wetu nchini ni kundi kubwa la wananchi wenye mahitaji maalumu. Hapa nchini daladala tu ndizo zilizopewa jukumu la kuwasafirisha kwa bei pungufu ya sh. 200. Hii Ni tofauti na biashara nyingine kama ya stationery, uniforms, bodaboda, chips, soda, nk ambao wao huwa wanawauzia wanafunzi...
  16. MONA WA KYEN

    Gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege

    Wakuu habari natumai wazima wa afya. Ningependa kuuliza hivi gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege kutoka nje ya nchi huwa ni kiasi gani? Asia, Marekani nk Asateni. Natanguliza shukrani.
  17. Cannabis

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yafuta mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya kwa Mfanyabiashara Mussa Mohamed

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka Mfanyabiashara Mussa Mohamed aliyefikishwa mahakamani hapo leo Juni 23, 2020 akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Heroine. Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali,Sylvia Mitanto kudai mbele ya Hakimu Mkazi...
  18. jitombashisho

    Serikali ianzishe mara moja biashara ya kusafirisha abiria mikoani

    Naitaka Serikali ifufue na ianzishe upya Shirika la mabasi ili gharama za usafishirishaji ziwe rahisi. Kwa kuliacha soko la usafirishaji abiria kuwa huru ndipo sasa gharama za kusafiri zimekuwa juu! Eti leo ili nifike kwetu IMALASEKO inanibidi niwe na kiasi kisichopungua elfu sabini (70000) hii...
  19. Dr. Zaganza

    Uliza swali lolote juu ya kusafirisha mizigo toka Dar es Salaam kwenda Mikoani

    Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo - 1. Thamani ya mzigo - 2. Ukubwa wa mzigo Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na salama, mzigo utamfikia mlegwa kwa wakati. Kwa mizigo mikubwa bila kujari thamani yake, Njia hizi...
  20. B

    Nahitaji kusafirisha pikipiki yangu kutoka Dar kwenda Karatu

    Je, usafiri gan utakuwa mzuri zaidi na wa bei nafuu kusafirisha pikipiki kutokea Dar kwenda Karatu?
Back
Top Bottom